Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

Acha upumbavu wewe yesu Ni issa tangu lini

Issa Ni huko huko kwenye ukoo wenu
Nafikiri ungeonyesha utofauti kwa facts au kwa ushahidi kuliko kutukana,Naweza nikawa Mpumbavu kwa kukueleza Ukweli Lakini wewe ukawa Mpumbavu kwa kutonisahihisha Ujinga wangu
 
Hata kwenye movie Kama hakuna Cha maana huwa tuna forward

Unataka tuandike hata Yale ambayo sio ya kujifunza..eg yesu aliamka akateleza akaumia au akawa hataki kazi au akaenda ogelea akamaliza siku ingne akashinda juu ya mpera hio itakuwa biblia au udaku ...
Unahisi kwa miaka 18 hakuna kikichokuwa kizur kwa yesu cha kujifunza hasa kwa Teeneger...Mehn I think the knowledge that they gave you have brainwashed you intellectual seriously...
 
When examining if something is a pseudepigrapha, you look for any first references to it. For example, when looking at New Testament writings of Paull, one of the things looked at is Clements first epistle to the Corinthians. It is NOT part of the Bible, but is accepted by scholars as having been written between 60 and 96 AD. From the writings of Paul, he references 1 Corinthians, Romans, Galatians, Ephesians, and Philippians, Titus, 1 Timothy, part of Hebrews and material from the book of Acts. He makes indirect references to 2 Corinthians, Colossians, and 2 Timothy. He does not reference either 1 or 2 Thessalonians or Philemon. That fact that these other letters are references by some who was a contemporary with Paul would be a good argue that they are genuine. While any other letters that appear later, are unlikely to be genuine.(Bible canonical commentary)
Maana yake zilikuja baadae lakini hazikuwa na criteria walizokuwa wamependekeza,,,mfano

The early church used four criteria to determine the canonicity of a New Testament book.
  • First, each book was written by an apostle or one closely associated with an apostle.
  • Second, the contents of these books were revelatory in nature.
  • Third, these books were universally recognized by the church in their teaching and preaching ministry.
  • Fourth, these books were considered inspired because they bore the marks of inspiration.
Ukiangalia vitabu ya tomas,yuda iskariot(ambae sijui aliiandikia wapi) ,,barnaba,,injili ya mary nk utagundua havina criteria hata moja ya hizi nne ambazo zilitumika kwa vitabu vya agano jipya..Na kama kanisa lilivikataa basi hata mtu anaesoma vitabu anaweza kuvipitia ndio atajua hawa watu waliokaa zaidi ya mamia ya miaka iliopita walikuwa hawafanyi kazi ya kuandaa mtaala wa kufurahishia watu,,,na ndio maana watu flani wamejitokeza na kudai kwamba maana ya homosexual ni pedophile na sio sodomy kwa kutumia reference wanazodai zipo lakini zilishakataliwa na kanisa kwa kuwa hazikuwa na vigezo.
 
Nafikiri ungeonyesha utofauti kwa facts au kwa ushahidi kuliko kutukana,Naweza nikawa Mpumbavu kwa kukueleza Ukweli Lakini wewe ukawa Mpumbavu kwa kutonisahihisha Ujinga wangu
Issa😁 wewe naona hujala wewe na akili yako haiko sawa,, historia ya yesu na issa Ni tofauti ..issa wa kislam hakuzaliwa na marium baba yake yusuph
 
Kuhusu Vatican kuwa na siri walizozificha na wewe ukazisubiri kwamba zitakuja kuwa bombshell,,huko ni kuishi kwenye hallucinations kwa sababu
1.Biblia iliopo imeshatengeneza utaratibu wa kiimani na watu wengi waamini wako kwenye motion na wanajua ukweli ni nini na lengo wanaloliendea wanalijua kwa undani.

2.Mimi na waprotestan wengi (Wakatoliki mtaniwia radhi) hatumwamini Maria kama mama wa Mungu,,yeye ni binadamu,,alikufa na hajatoka katika wafu,,anasubiri kufufuliwa siku ya mwisho ya hukumu ili kama ni mwenye haki na yupo katika kitabu cha uzima aingie paradiso,,,kwa hio kusema maria alitokea watu ni jambo la kufanyia assesment kwa sababu huyo alietokea sio Maria na wanaotumwa na Mungu kama malaika wanajulikana..Maana yake hata hio siri iliofichwa ikijulikana itapata attention ya wachache.Zaidi baada ya Maria kumzaa Yesu Kristo hatumuoni kwenye lengo lingine popote..
 
When examining if something is a pseudepigrapha, you look for any first references to it. For example, when looking at New Testament writings of Paull, one of the things looked at is Clements first epistle to the Corinthians. It is NOT part of the Bible, but is accepted by scholars as having been written between 60 and 96 AD. From the writings of Paul, he references 1 Corinthians, Romans, Galatians, Ephesians, and Philippians, Titus, 1 Timothy, part of Hebrews and material from the book of Acts. He makes indirect references to 2 Corinthians, Colossians, and 2 Timothy. He does not reference either 1 or 2 Thessalonians or Philemon. That fact that these other letters are references by some who was a contemporary with Paul would be a good argue that they are genuine. While any other letters that appear later, are unlikely to be genuine.(Bible canonical commentary)
Maana yake zilikuja baadae lakini hazikuwa na criteria walizokuwa wamependekeza,,,mfano

The early church used four criteria to determine the canonicity of a New Testament book.
  • First, each book was written by an apostle or one closely associated with an apostle.
  • Second, the contents of these books were revelatory in nature.
  • Third, these books were universally recognized by the church in their teaching and preaching ministry.
  • Fourth, these books were considered inspired because they bore the marks of inspiration.
Ukiangalia vitabu ya tomas,yuda iskariot(ambae sijui aliiandikia wapi) ,,barnaba,,injili ya mary nk utagundua havina criteria hata moja ya hizi nne ambazo zilitumika kwa vitabu vya agano jipya..Na kama kanisa lilivikataa basi hata mtu anaesoma vitabu anaweza kuvipitia ndio atajua hawa watu waliokaa zaidi ya mamia ya miaka iliopita walikuwa hawafanyi kazi ya kuandaa mtaala wa kufurahishia watu,,,na ndio maana watu flani wamejitokeza na kudai kwamba maana ya homosexual ni pedophile na sio sodomy kwa kutumia reference wanazodai zipo lakini zilishakataliwa na kanisa kwa kuwa hazikuwa na vigezo.
Nachopenda kujenga hoja na wewe ni kuwa wewe ni msomi , very Smart na unajua unachokisema Very nice..
i Think pia unajua kuhusu ishu ya Synopsis au can i say Synoptic gospels and unajua Why John is not a synoptic gospel while Mathew ,Luke and Mark are...
Ntachambua sababu moja ya kutokuwa synopsis John kwamba haikuwahi kufundishwa kabla ni injili mpya ni injili iliyoeleza new concepts of jesus ambayo hata baadhi ya mababa zetu wa zaman wa imani wengine waliikataa mwingine eusebian na ndo chanzo cha kupata Arianism,NeoArianism na hawa Orthodox churches za ethiopia.
Ngoja nikupe kidogo historia (Theological history of Denomination) maana zamani tulikuwa na Kanisa moja na moyo mmoja kabla ya kuja kwa uislamu Why we faced madhehebu...

Arius Alikuwa Askofu wa Alexandria miaka ya 280AD hivi na alisoma Antiochia/Antiokia (Kumbuka kipindi hicho mpaka uwe Askofu sio mchezo/ maana hakukuwa na kanisa lolote zaidi ya kanisa la mitume peke yake yaani imani ilikuwa ni moja) ambako kipindi hicho bado kulikuwa na mwanga wa mafundisho mengi ya paulo...
Baada ya kuanza kuingia Mafundisho ya Kitabu cha Yohana (Ambacho hata ukisoma historia ya kanisa ni kitabu kilichokuja inasemekana miaka 120AD) hivi kikaanza kuelezea kuhusu Mungu na Utatu mtakatifu ambayo huitwa homoiousios concepts kwamba Mwana yuko sawa na baba kupitia yohana 1:1 concepts ya neno Mtu wa kwanza kuanza kuipinga hiyo concepts alikuwa Askofu Arius ambaye alikuwa akitawala sehemu kubwa sana Na aliyeleta concepts hii alikuwa Askofu au Mtawa Alexandria wa alexandria ambapo kwa wakati huo imani iliyokuwepo ilikuwa ni Heteroousious yaani Mungu na Yesu ni vitu tofauti,Jiulize kama Yohana ingekuwa ni kitabu kifahamikacho je Askofu angepinga na huo utatu mtakatifu aliupinga sana..
Ikafika mahala nchi ikawa na mgawanyiko wanaoamini utatu na wasioamini wanaamini Yesu ni Mungu na Wasioamini.
Ikumbukwe mtawala wa kipindi hicho alikuwa ni constantine I ambaye hakuwa mtu wa dini alipoona nchi yake inaenda kombo ndo akaogopa kugawanyika kwa utawala wake hivyo haraka akataka kufanya suluhu ya mjadala huo,Akaita maaskofu wote Mataifa yote kwenye kikao ambacho kilifanyika Nicea (uturuki ya sasa) Mwaka 325AD kinachoitwa the council of naecea I ili kijadili mstakabali wa mzozo huo kati ya alexander of alexandria na Arius kuhusu Mungu...Baada ya mgogoro Mwingi kuendelea kwenye kikao ndipo Constantine akawaambia wapige kura kwa bahati mbaya kura hazikutosha kwa Arius (Na kwa bahati mbaya Vitabu vyote vya refference vya arius vilichomwa moto vitabu zaiidi ya 500)..Na alitenguliwa uaskofu na Akafukuzwa kwenye kikao sasa hapo ndo vilipoingizwa vitabu kama yohana (ambapo mpaka leo ni non synoptic) Waebrania (Mpaka leo wanatheolojia wakuu hawajui nani mwandishi wake Japo wengine wnakichanel kwa paulo japo nao wanapinga baadhi ya mistari haikuandikwa na paul) na kitabu cha Ufunuo (ambacho wanatheolojia wote wanakubaliana kuwa ni kitabu ambacho sio canonical) kw kuwa vitabu hivyo vinasupport mada yao ya Yesu ni Mungu wakaviweka.....
kutokana na mgogoro huo wwngne waliutumia kuingiza vitabu visivyofaa kama Gospel of barnaba na gospel of Thomas na kusema ni moja ya vitabu ambavyo havikuingizwa ILO SIKATAI HATA KIDOGO....
ILA HICHO KIKAO HAKIKUVUVIWA NA ROHO MTAKATIFU KMA ULIVYOKIITA WEWE ILA KILIWEKWA NA CONSTANTINE I KUHOFIA NAFASI YAKE ENDAPO KUTATOKEA MACHAFUKO NA NDIYO MWENYEKITI WA KIKAO HICHO NA ALIKUWA MPAGANI IKUMBUKWE HIYO
 
Mimi ni mtu wa kawaida sana,,sijasoma hata kufikia Level yako DR..Wewe DR ndio tulitakiwa tukupe na cheo cha kuwa smart kwa sababu (always your looking for the facts in rejected books) na hutaki mwongozo uliokubaliwa wenye vigezo vya kiimani na sijui kama wewe hizo reject unataka ziwe inclusive kwa faida au ni kuleta confusion. maana mimi siiangalii FACT kwenye dini(ila naangalia fact kwenye lengo la kile kilicho contents za vitabu vilivyopitishwa na vilivyo reject) zaidi naangalia FAITH (naamini wewe na wasomi wengine huwa ni nadra kukubaliana na Imani)....Hizo criteria hapo juu utaona kwamba kitabu kama Waebrania au Yohana vimekubaliwa kwa sababu content yake ni ya ukweli na inaendana na imani,,imejaa mafundisho muhimu na inafaa kufundishia na vile vipimo/vigezo vinne (criteria) imo ndani yake,,,ndio maana hao schollars sina shaka nao hata kidogo maana waliangalia content ya hivyo vitabu na chini ya uongozi wa ROHO MTAKATIFU wakaviweka miongoni mwa vitabu muhimu na visivyo na shaka yoyote,,,,
 
criteria hapo juu utaona kwamba kitabu kama Waebrania au Yohana vimekubaliwa kwa sababu content yake ni ya ukweli na inaendana na imani
Sijajua imani unayozungumzia hapa ni ya sasa uliyonayo au ni imani ile iliyokuwa kipindi cha uchaguzi kama ni kipindi cha sasa Your right tena sana inaendana na imani ya kipindi cha sasa...Ila ukiniuliza kama inaendana na imani ya kipindi cha mitume na kanisa la awali ntakujibu hell No..Haviendani na imani hiyo sidhani kama maaskofu zaidi ya 250 (hawa aalisusia kikao) pamoja na askofu Arius wanaweweza kusema kwamba hivi ni vitabu vya elimh mpya wakati wao wamesoma Antiokia Katika shule za Mitume wa yesu
 
Kitabu cha ufunuo content yake imejitosheleza kabisa (ndio maana Ukichunguza uhusiano wake na vitabu vengine utauona) Na kama imeandikwa Yesu ni Mungu sijaona kwa nini mtu awe na shaka maana kimemuelezea akiwa katika hali ya utukufu,,,Hapa ndio nimeona baadhi ya mashaka yako kwa sababu hata kichwa cha maada yako ni mashaka ulio nayo na YESU KRISTO yakakupelekea kujua kwamba kwani hata habari zake zilitokea wapi???? Sasa UFUNUO kama haina relevant source(ile kikiwa na outstanding and critical contents) tukikatae kama kitabu muhimu ili tuweke kitabu cha enock (kilichojaa habari za kusadikika na za uwongo) Nasisitiza waliopitisha hivi vitabu hawakuwa wenyewe.MUNGU anaweza kumtumia hata kuku kufanikisha lengo lake sembuse binadamu aliekamilika??
 
Heru, Hero, Messiah, Jahshua, Horus, Zeus, Jesus the list goes on.
Akiwa na miaka 12 alipotea Misri walimtafuta sana mwishowe walimkuta katika hekalu la Misri (Khemet) akiwa na wazee na makuhani wakipiga story ndipo walipo gundua kuwa si mtoto wa kawaida ana hekima na busara za kimungu zaidi ya watu wazima.
Hivyo ilibidi akae hakaluni na apokee mafunzo ya kiungu (initiatian) mpaka alipokuwa tayari kuianza kazi yake akiwa na miaka 30.
Afterall they are just an allegories, names that have been substantiated (personified figure) ili kutumika kufundisha mambo ya kiroho ambayo ni magumu kueleweka on vaccum unless you practice.

Sorry.. Out of the box
 
Kweli wewe ni ibilis mtoto wa shetani
Nyinyi mnaompamba kuwa sijui mungu wakati alikuwa anafanya mambo mengi ya kibinadamu ndio tunashangaa hujui kulikuwa na ndoa ya siri Kati ya Yesu na yule mariam magedalena THE WOMAN WITH THE ALABASTAR JAR
 
"Mungu ni Roho nao wamuabuduo imewapasa kumuabudu katika Roho".

ukimchambua yesu kihistoria au kithiolojia huwez muelewa. Ndio maana hata wanadini (dini ya kiyahudi) walishindwa kumuelewa wakamuua.
 
Kwani Yesu ni Mungu kaka. Maana umetoa fungu la Mungu maelezo ya Yesu halafu wakati huo huo ukaongeza na kumuua
 
Kitabu cha ufunuo content yake imejitosheleza kabisa (ndio maana Ukichunguza uhusiano wake na vitabu vengine utauona) Na kama imeandikwa Yesu ni Mungu sijaona kwa nini mtu awe na shaka maana kimemuelezea akiwa katika hali ya utukufu,,,Hapa ndio nimeona baadhi ya mashaka yako kwa sababu hata kichwa cha maada yako ni mashaka ulio nayo na YESU KRISTO yakakupelekea kujua kwamba kwani hata habari zake zilitokea wapi???? Sasa UFUNUO kama haina relevant source(ile kikiwa na outstanding and critical contents) tukikatae kama kitabu muhimu ili tuweke kitabu cha enock (kilichojaa habari za kusadikika na za uwongo) Nasisitiza waliopitisha hivi vitabu hawakuwa wenyewe.MUNGU anaweza kumtumia hata kuku kufanikisha lengo lake sembuse binadamu aliekamilika??
Nimekuelwa mkuu Hawakuwa wenyewe walikuwa na constantine I na kingine sijui kama umepitia theological philosophy ya ufunuo kutoka kwa wanatheolojia wenyewe kama utaweza jaribu kupitia halafu uje uniambia ....sio lazma vitabu hata mchungaji wako unaweza ukamuuliza
 
Heru, Hero, Messiah, Jahshua, Horus, Zeus, Jesus the list goes on.
Akiwa na miaka 12 alipotea Misri walimtafuta sana mwishowe walimkuta katika hekalu la Misri (Khemet) akiwa na wazee na makuhani wakipiga story ndipo walipo gundua kuwa si mtoto wa kawaida ana hekima na busara za kimungu zaidi ya watu wazima.
Hivyo ilibidi akae hakaluni na apokee mafunzo ya kiungu (initiatian) mpaka alipokuwa tayari kuianza kazi yake akiwa na miaka 30.
Afterall they are just an allegories, names that have been substantiated (personified figure) ili kutumika kufundisha mambo ya kiroho ambayo ni magumu kueleweka on vaccum unless you practice.

Sorry.. Out of the box
Jesus was never been the name of yohshua..... Kwa hiyo alikuwa yuko hekaluni kwa miaka 18...
Plz dare me..nifundishe hayo Mambo nataka kuelewa zaid
 
As long as you take Jesus life as a real story of someone anointed walk on the earth do miracles and teach people the word of life we will never be on agreement.
Because what I know Is that Jesus was mythology written and translated from many old writings found on an ancient tablets, pyramids walls and burnt library during the era of Alexander the great, what happened Is just changes of the original names the we ended up with the names Jesus, even on buddhist you can find a story similar to that written on new testament.
First of all you have to understand what mythology means related to spiritual matters, then you have to be willing to search the knowledge that most of them are forbiden knowledge.
Why are they forbiden you will find out once you begin to grap the concept behind those knowledge after that you'll be one step towards the truth. And if you are willing enough try to study and research Kemet history from African authors because za kizungu zimepindisha ukweli.
Nobody can teach you all this stuff on a comment session maybe just giving direction.
But the most important part you have to be willing to open you mind so when the Truth hit the point you don't lose you mind.
Hotep
 
. And if you are willing enough try to study and research Kemet history from African authors because za kizungu zimepindisha ukweli.
Then where can I find those kemet history....
Nobody can teach you all this stuff on a comment session maybe just giving direction.
But the most important part you have to be willing to open you mind so when the Truth hit the point you don't lose you mind.
Hotep
Yeah I want hints and direction of getting those stuffs....My Mind aint riggid Bro..I aint Fixed.......Niko dynamic sana
 
Then where can I find those kemet history....

Yeah I want hints and direction of getting those stuffs....My Mind aint riggid Bro..I aint Fixed.......Niko dynamic sana
Kwa kuanzia naomba utafute hiki kitabu kinaitwa
African the Origin of Civilization Myth or Reality by Cheikh Anta Diop free pdf

Then youtube search Ashira Kwesi ana clip nyingi ameeleza kuhusu kemet history ukifanikisha hapo basi njia nyeupe kila unalotaka kufahamu utalipata huko
 
Shukrani sana mkuu Maana nipo nawasoma hawa kaballist na kitabu chao cha zohar na pia kuna hizi podcast za Erich von Daniken kuhusu utafsiri wa biblia
 
Back
Top Bottom