Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

Alikuwa zake fundi seremala akifundishwa hiyo kazi na baba yake aliyeitwa Yusufu huko Nazareth. Hakuna cha kushaangaza, aliishi zake normal life chini ya tawala zilizokuwepo, ni kama leo uwe zako fundi wa vitanda atakujua nani ukawazidi wanaoamsha matukio kama ya DP World nk, hata wateja wako watanunua bidhaa na kukusahau, ndiyo maana alipoanza kazi alidhihakiwa, aliweza tu kuvuta attention alipofanya miujiza watu wakaona kwa macho yao. Yesu hakupaswa kuwa famous especially wakati akikua, la sivyo angejulikana sana na kuondoa dhana nzima ya kuja kwake. Likely uwezo wa kufanya miujiza alikuwa nao tangu mwanzo, ndiyo maana mama yake alipoona kule harusini wameishiwa divai akamfuata na kumwambia afanye jambo. Yesu ni Mungu, haleluya!
 
Kumekuwa na uvumi kwa miaka mingi kwamba Vatican ina ushiikilia ukweli huu kuhusu maisha ya Yesu na miaka kumi na minane iliyopotea,kwa madai kuwa Habari hizo zinaweza kubadilisha sana imani ya dini ya kikristo ya leo,
Sawa
 


This hits home.
 
Unaweza kunionyesha hayo usemayo 🀣🀣
 
Maisha binafsi ya Yesu Kristo Sio muhimu bali muhimu ni lengo la ujio wake duniani kuleta injili
Sio muhimu wakati huo Tunaambiwa tuishi maisha ya utaua yenye kufanana na maisha ya yesu 🀣🀣🀣 Yaani tuige maisha ya yesu Dah mnatuchanganya sasa🀣🀣🀣
 
Nilikuwa na shida na maswali magumu ZAIDI,

Kuna sehemu ulisema Kuna maswali Complex

Naomba unisaidie ,nitayapateje hayo complex maswali zaidi ya 500,ya kibiblia,


Nitashukuru Sana ukinitumia sites za hayo MASWALI Complex

Ninashida nayo ,

Hili ulilotuma ni SWALI zuri la kumtafakarisha,

Nitayapateje zaidi maswali Complex ya kibiblia,

Nipe miongozo nikayasake online,
 
Qur'an pekee ndicho kitabu utapata "knowledge" yenye ushahidi unaokubalika kielimu."knowledge" bila ushahidi ni bure tu.

Qur'an imejipambanuwa kuwa ni kitabu pekee tokea kushushwa kwake kimehifadhiwa na kipo vilevile kama" kilivyoteremshwa". Ukitaka kumjuwa Yesu au Issa ni nani, ukianza kubishana kuhusu jina ulilozoweshwa wewe na lililotumika kwenye Qur'an hutofika mbali katika uelewa, kwa sababu utakuwa ushajiweka katika ushindani na siyo kutafuta "knowledge with evidence"..

Issa, hata Waislam waliotumia tafsiri za Qur'an iwe tafsiri za Kiarabu au za lugha zingine wameshindwa kuielewa Qur'an kwa kiwango kikubwa.

Kumtafsiri Issa kwa kuitafsiri Qur'an kwa kutumia visa vya kwenye biblia au vya vitabu vingine vyovyote vya kablla yake ambavyo boila shaka ni vya mikono ya watu utakuwa hujajitendea haki ya ufahamu (knowledge".

Tafsiri ya kwanza na ya pekee ya Qur'an inatakiwa iwe Qur'an yenyewe na siyo tafsiri ya kutazama kitabu au maandiko mengine yamemuandikaje Issa au kujaribu kufananisha Issa huyu ndiyo yule.

Qur'an haijaja kuiyakinisha Biblia au kuipambanuwa Biblia. Qur'an ni "criterion" Kigezo cha kipekee kilichokuja kuuweka ukweli sawa.

Ukianza jee Issa ni Yesu? utapotea njia. Msome Issa wa Qur'an kama Issa bila kumtafuta kwengine, Kama Yesu nae ni Masih basi Qur'an inamuongelea Masih Issa, cha kujiuliza, je maana ya Masih ya Biblia ndiyo hii ya Qur'an? Kama maana ni ile ile basi kuna uwezzekano anaongelewa mtu mmoja, kama maana ni tofauti, basi ni kuuelewa huo utofauti na kujiuliza ni yule yule bali alipewa maana nyingine ya Umasih au Umasih maana yake ni nyingine kabisa na siyo ule uliofundishwa wewe kwenye Biblia au kwenye Tafsir za Qur'an zilizofata tafsiri za kibiblia?

Binafsi naamini Issa wa Qur'an ndiye Yessu wa Biblia lakini ni visa viwili tofauti, Biblia imeandikwa na watu kuelezea maisha ya yesu (biography), Qur'an haikuja kwa kuelezea "biography" ya Mtume yeyote wa kabla bali kujuwa alikuwepo na kwanini alikuwepo. Mafundisho yake yalikuwa ni nini na kwa faida ipi na ya nani?

Issa nnaemfahamu mimi kwenye Qur'an mafunzo yake na uzawa wake ni tofauti na yale yanayoelezewa kwenye biblia na tofauti na yale yanayoelezewa na watafsiri wa Qur'an ambao kwa kujuwa au kutokujuwa wameingia kwenye mtego wa kuitafsiri Qur'an kutokana maandiko ya watu. Watafsiri badala ya kutafsiri maana na uhalisia wa Qur'an na kuwa ni muongozo katika maisha yetu ya kila siku wameifanya kama kitabu cha kuyakinisha Biblia ambayo ni mikono ya watu.

Qur'an ni kitabu cha kipekee, kisa cha Issa kinavyoelezwa kwenye Qur'an ni tofauti kabisa na tafsiri zozote za Qur'an zilizopo.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Quran hii iliyoiba story kutoka kwenye biblia?quran ni kitabu feki na mnamuabudu mungu feki haiwezekani mungu wenu awaambie kuwa wanaume wenu wakienda kwenye mbigu yake atawapa vinywaji(vileo) na wanawake 72.hiyo ni Mbigu au Ambiace Bar?wewe umeandaliwa wanaume 72?watakutoa damu.yaani mungu anaahidi kuwa kuna ngono na ulevi mkienda kwake huyo ni mungu kweli?mnapotea.mkubalini yesu atawale maisha yenu acheni kuabudu Mungu feki.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Huwa sipendi kukaa upande wowote kwenye mada hizi ila linapokuja swala la kashfa kwa dini yoyote huwa naingilia kati nimeona mara nyingi sana watu wakikashfu Tatizo wakristo mnajifnya nyinyi wema kuliko wengine kutumia kauli hizi okay ngoja nizigeukie kwenye biblia...nitajibu moja ya mvinyo..

so unataka kuniambia mbinguni hakuna Vileo au Wine au wisky than kama hakuna Bhasi yesu alisema uongo
kwenye

"Truly, I say to you, I will not drink again of this fruit of the vine until that day when I drink it new with you in my Father's kingdom." (Matthew 26:29, ESV)"

kiswahili..

"Nawaambieni kweli, sitakunywa tena divai ya mzabibu mpaka siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika Ufalme wa Mungu."
(Tafsifi Ya NEN (Neno: Bibilia Takatifu)

pia soma Luka 22:18

"Maana nawaambieni, sitakunywa divai hii tena mpaka siku ile nitakapokunywa mpya katika ufalme wa Mungu."

ikumbukwe Wine kama dompo hiviii. ambazo mara nyingi zina Alc.18 au 19 au 21 ....

wakati bia moja ina alc 3.0 au hata 4.5. na mwisho kabisa huwa zina alc 5.5 na hiyo ndo kali sana...

Nakuongeza pia..

Isaiah 65:8 (ESV): "Thus says the Lord: 'As the new wine is found in the cluster, and they say, "Do not destroy it, for there is a blessing in it," so I will do for my servants' sake, and not destroy them all.'"

swahili...version.
"Kama vile mvinyo mpya upatikanavyo katika vichala, nao husema, 'Msiharibu! Kwa kuwa kuna baraka ndani yake!' Kadhalika nitakavyowatendea watumishi wangu, niwashie wote."
.....
Mungu anazema msiharibu Pombe ina baraka ndani yake...

Sitaki kukujibu kuhusu Wanawake maana nitakuwa naswma kitu kibaya sana ambacho kimo kwenye biblia tena kipindi cha Musa kipind wanakamata mateka wale bikra Kuna maagizo mungu aliwapa so nenda yapitie halafu uje ukae meza na wenzako wa wanawake 72 hakuna mwema
 
Sio muhimu wakati huo Tunaambiwa tuishi maisha ya utaua yenye kufanana na maisha ya yesu 🀣🀣🀣 Yaani tuige maisha ya yesu Dah mnatuchanganya sasa🀣🀣🀣
Vipi kuhusu maria Magdalena???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…