Miaka 20 plus unamuonesha nani? na ili iweje? ujinga ujinga tu

Dar joto lazima tuvae nguo nyepesi.
Huu ujumbe watu wa daslam hautuhusu 😹
 
sasa kama rijali ndo uanze kuwa judge?

wewe appreciate Gods creation then fata mambo yako.
ngoja nikuache hata hivo unawatoto au utazaa.

watoto wasipojifunza kwako watajifunza ya dunian huko
 
shida mnapenda kuwa police wa wanawake. Fateni mambo yenu. Kama unataka adabu, iweke kwa binti zako na watoto wako pekee. Outside world is a free world mkuu.
sasa hyo out world are free ikitokomezwa unadhan watoto watajuaje kama kuna skert fupi NJE?
 
sasa hyo out world are free ikitokomezwa unadhan watoto watajuaje kama kuna skert fupi NJE?
its a free world bro, wafunze wajue kufta mambo yao despite wanachoona but we already know that you wont teach them sababu hata wewe mambo ya watu wengine yanakushughulisha sana.
 
its a free world bro, wafunze wajue kufta mambo yao despite wanachoona but we already know that you wont teach them sababu hata wewe mambo ya watu wengine yanakushughulisha sana.
sawa! you won't teach them but unaweza kukemea huenda wakabadilika na mambo yakawa sawia.

Na kizazi kijacho kikakuta unafuu upo, sio wakute mtu anatembea kavaa bikin na wao wataiga tu hata kama wew umewalea vizur
 
changes ni kitu dynamic bro na its a process pia. Ni mkusanyiko wa factors nyingi kwa pamoja. Kitendo kimoja cha kukemea au kuelimisha hakitoshi kuleta changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…