Marehem Maramba, ameleta mchango mkubwa kwenye jimbo lake, lami moja matata, rombo miaka ya hoyo ilikuwa haipitiki na alikuwa waziri tuYeye Serikali?
Kongwa ni moja ya jimbo lenye barabara mbovu kweli kweli, mtu amekuwa mbunge tokea 2000, to date?Miaka 25 ya ubunge alafu unakufa madarakani inachongwa Barabara kufikia pahala pako pa kuzikwa?haya hawezi tokea kilimanjarooo
Mramba hakuwa Waziri tu bwashee ana historia 😂Marehem Maramba, ameleta mchango mkubwa kwenye jimbo lake, lami moja matata, rombo miaka ya hoyo ilikuwa haipitiki na alikuwa waziri tu
Ndugai amekali kitu hiko kw amuda gani kushindwa kuinfluence barabara kuwekwa jimbo lake?
Haman excuse kwenye hili
Haha bado si excuse kaka, ukiwa mzembehata kwenu hukumbuki, mtu hmekuwa mbunge tokea 2000 barabara ni ile ile?Mramba hakuwa Waziri tu bwashee ana historia 😂
Dah umeandika Kwa uchungu japo sijui ulichoandikaHe was a big disgrace to his poor community!!!
Charity always begins at home
Our politicians always preach water while drinking strong wines 🍷, hypocrisy of higher magnitude