RIP wote waliopoteza maisha katika ajali hii. RIP my Sister!Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza.
Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja.
Leo imetimia miaka 27 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa matukio mabaya kabisa kutokea tangu nchi yetu kupata uhuru.
Tunawaomba leo TFF kwenye mechi ya Simba kuwe na moment of silence kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wote walio poteza maisha yao kwenye ajali hiyo.
Mwenyezi Mungu aendelee kuzilaza mahala peponi roho za marehemu wote walio fariki kwenye ajali hiyo.
Ameen!
Mungu akusamehenaomba na huyu robot pia kukaa kimya
View attachment 2995739
Kwahiyo kila tarehe ambayo itatokea ajali inakua hiyo ni tarehe mbaya?Tarehe zingine hizi ni balaa vipi walio zaliwa tarehe ya leo?
wewe ni wakala wake mpaka anisameheMungu akusamehe
Aisee kweli ni 28.Kama huo mwaka ulioandika ni sahihi basi siyo miaka 27 ni 28, by the way kama watalifanyia kazi hili basi nitaamini viongozi wa hizi timu huwa wanapita humu, hivyo wanaweza kufanyia kazi na maoni mengine muhimu ya wadau kuhusiana na hizi timu
Siku yakumbukuzi wenyewe ndio barthdayTarehe zingine hizi ni balaa vipi walio zaliwa tarehe ya leo?
Mkuu hii sasa kwa wali zaliwa inaishara gani kuhusu nyota je ni ya nuru au ya shari? Mana tarehe kama ya leo ndo siku yangu ya kuzaliwaHakuna tatizo kabisa kwanza siku ya leo ndio siku ya kwanza ya mzunguko ya nyota ya Gemini, nyota kubwa kuliko zote duniani