Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Mfano miSiku yakumbukuzi wenyewe ndio barthday
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano miSiku yakumbukuzi wenyewe ndio barthday
Wala Usiogope mkuu tarehe 21 May ni siku yenye nguvu sana kwa sababu ndio siku ya kwanza ya nyota ya Gemini ambayo ndio nyota kuu kuliko zote.Mkuu hii sasa kwa wali zaliwa inaishara gani kuhusu nyota je ni ya nuru au ya shari? Mana tarehe kama ya leo ndo siku yangu ya kuzaliwa
Nilikuaga mwanza enzi izo duu ambulance za maiti zilipita kwenda miti ya nyerere igoma MWANZA..Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza.
Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja.
Leo imetimia miaka 27 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa matukio mabaya kabisa kutokea tangu nchi yetu kupata uhuru.
Tunawaomba leo TFF kwenye mechi ya Simba kuwe na moment of silence kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wote walio poteza maisha yao kwenye ajali hiyo.
Mwenyezi Mungu aendelee kuzilaza mahala peponi roho za marehemu wote walio fariki kwenye ajali hiyo.
Ameen!
Wala Usiogope mkuu tarehe 21 May ni siku yenye nguvu sana kwa sababu ndio siku ya kwanza ya nyota ya Gemini ambayo ndio nyota kuu kuliko zote.
Duh inatisha . Nadhani itakuwa ni roho za watu walio fariki kwenye ajali hiyo.Nilikuaga mwanza enzi izo duu ambulance za maiti zilipita kwenda miti ya nyerere igoma MWANZA..
Miti ya nyerere igoma MWANZA ipo pale jirani na LAKE OIL & GAS Maaskar ambao huwa wanalinda Yale MAKABURI wanasema huwa ikifika usiku wa manane utasikia ukiitwa jina lako mule MAKABURINI
Watu wengi Sanaaaa wameshuhudia nimeshuhudia ajar nyingi Sana pale malamala igoma kuelekea hapo kwenye MAKABURI
Mwanasesele wa mtoto wa bosi yule.naomba na huyu robot pia kukaa kimya
View attachment 2995739
Waendelee kupumzika kwa amani.