Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

Mkuu hii sasa kwa wali zaliwa inaishara gani kuhusu nyota je ni ya nuru au ya shari? Mana tarehe kama ya leo ndo siku yangu ya kuzaliwa
Wala Usiogope mkuu tarehe 21 May ni siku yenye nguvu sana kwa sababu ndio siku ya kwanza ya nyota ya Gemini ambayo ndio nyota kuu kuliko zote.
 
Nilikuaga mwanza enzi izo duu ambulance za maiti zilipita kwenda miti ya nyerere igoma MWANZA..

Miti ya nyerere igoma MWANZA ipo pale jirani na LAKE OIL & GAS Maaskar ambao huwa wanalinda Yale MAKABURI wanasema huwa ikifika usiku wa manane utasikia ukiitwa jina lako mule MAKABURINI

Watu wengi Sanaaaa wameshuhudia nimeshuhudia ajar nyingi Sana pale malamala igoma kuelekea hapo kwenye MAKABURI
 
Nataka nisome sifa za hii nyota ya gemini mkuu kuna kitu hapa hutak kufunguka nakujua Likud
Wala Usiogope mkuu tarehe 21 May ni siku yenye nguvu sana kwa sababu ndio siku ya kwanza ya nyota ya Gemini ambayo ndio nyota kuu kuliko zote.
 
Duh inatisha . Nadhani itakuwa ni roho za watu walio fariki kwenye ajali hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…