Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

Wabongo mwanamke akifa ikiwa wanaamini kauza .... Wabongo kweli hatupendi mtu afanikiwe,ukifanikiwa wewe ni free mason
 
Hata Shamim zeze 8020 Fashion alianza na mtaji wa elfu 10 ,Niffer alianza na mtaji wa elfu 40.

Nayce hakuanza na kitu ila sasa ana miliki gari ya mil 17....Oghopa ni khatareeee ,we Jhichanganye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…