Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

Huyo dada. Mitandao ndio imempa hela.

Kumbuka ana followers zaidi ya milioni moja instagram na ana followers zaidi ya milioni tik tok.. sio kazi rahisi kupata hao followers.

Ni kama kina mwijaku, na influencer wengine.

Anapata sana dili za ubalozi wa kampuni na za matangazo kwenye page zake instagram na tik tok.

Hizo ndizo zinazompa hela .. ila sio mshahara wa ukonda.

Hapo alipo ni balozi wa simu za ITEL, Balozi wa Hisense, Balozi wa Latra na vikampuni vingine kibao.

Ukichanganya na matangazo ya wafanyabiashara wadogo anayopost mara kwa mara.. IST lazima inunuliwe tu.

Zama hizi hela ipo mtandaoni
Wabongo mwanamke akifa ikiwa wanaamini kauza .... Wabongo kweli hatupendi mtu afanikiwe,ukifanikiwa wewe ni free mason
 
Hata Shamim zeze 8020 Fashion alianza na mtaji wa elfu 10 ,Niffer alianza na mtaji wa elfu 40.

Nayce hakuanza na kitu ila sasa ana miliki gari ya mil 17....Oghopa ni khatareeee ,we Jhichanganye tu.
 
Back
Top Bottom