Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.
Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.
Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?
Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.
Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.
Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.