Miaka 30 ijayo Tanzania itakuwa na idadi kubwa ya wazee masikini

Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.
Savings yenyewe haitoshi hata sukari wazee wanakufa kwa frustrations tu
 
Ni Ajira binafsi na zinasaidia wengi. Mjini hatulimi , Kama haifai onesha namna nyingine ambayo hili kundi linaweza kujitengenezea kipato.

Jambo la msingi ni kuwa na mazingira rafiki kwajili ya kazi yao na waelimishwe juu ya umuhimu wa usalama wa afya zao katika kazi yao.

Kama anauwezo wa kujitengenezea 300k kwa mwezi si haba kwa mtu ambaye Hana Ajira nyingine . Na sector binafsi nyingi zinalipa kiwango hicho pamoja na kazi ngumu zinazofanyika.

Vijijini tunalima mapato ya mwaka unapata wastani wa mahindi magunia:10-50
Alizeti : 15 -60
Mapato 1.5m mpaka 7m (average)

Hata hao wengine wa annual-crops wastani kipato kwa mwaka kina range 1.5-7m

Kuongeza kipato kwa Hawa watu ni elimu tu inahitajika Kama ilivyo kwa Hawa boda.
 
Hata hao watumishi na wengine walio kwenye sekta zinazotambulika, wakipataga mafao yao wanaishia kuingia kwenye starehe au biashara wasizo na uzoefu nazo.

Mwisho mtaji unakata na pesa ikiiisha, ndio hukumbuka hata kuwanunulia bodaboda vijana wao ambao mwisho wa siku ndio huja kuwa mhimili wa familia...

Tuache kunanga watu eti kisa tu imeongelewa na mwanasiasa Fulani au kwa mihemko ya upenzi wa chama fulani, siku zote tulikua hatuoni kuwa bodaboda sio kazi ni laana? Tulikua wapi kuongea toka mwanzo vijana wanapoanza kujihusisha na hii biashara?

Au ndio tulisubiri nabii aoteshwe na Mungu kwamba bodaboda, vicoba ni laana? Tutumie akili ya kawaida tuseme kuanzia leo biashara ya bodaboda ipigwe marufuku maelfu ya vijana wangapi watakua jobless? Familia ngapi zitakosa mahitaji muhimu? Wanafunzi wangapi watasitisha masomo?

Tanzania waliyokulia hao wanaosema bodaboda na vikoba ni laana na kaka zao ambayo haikua na bodaboda leo hii imeweza kutengeneza wazee wangapi waliokua wanafanya saving? Je leo Kuna wazee wangapi wanaojimudu kimaisha bila msaada? Kuna wazee wangapi walioweza kuwapa watoto wao elimu bora? Na je haman bodaboda wamepiga hatua kimaisha kupitia biashara hyohyo? Wame na Wana Jenga, kusomesha watoto, inshort wanakidhi mahitaji ya familia.

Mi nadhani haikua sahihi kusema bodaboda, vikoba e.t.c sio kazi ni laana, Ishu hapa ni kuangalia jinsi gani tunaweza kutengeneza mifumo itayoboresha vipato vyao na kuwaandalia kesho yao.
 
Kinyume cha umasikini ni nini?
Huyu mwanzisha mada amepewa 'kipande' Cha kuandika hajafanya discussion kichwani kabla ya kuchapisha hapa.

Hivyo hawezi kujibu hoja kinzani.
 
Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.

Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.

Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?

Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.

Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.

Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.
Kakwambia nani bodaboda hawana savings!?..ni watanzania wote Wana savings!?..bodaboda anafanya KAZI Kwa mkataba,akitimiza mwaka pikipiki inakua yake,anauza au anampa mtu deiwaka yeye anaingia mkataba mwingine
 
Sio kweli ndugu acha kupotishs
Sipotoshi fanya utafiti wastaafu wangapi kati ya wangapi wapo hai kutoka 2010 hadi 2020, nimefanya kazi na watu kati ya 2005 hadi 2015 walistaafu na katika 50 niliowafahamu 35 hawapo duniani
 
Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.

Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.

Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?

Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.

Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.

Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.
Lema ni mjinga, kabla ya ujio wa bodaboda watu walikuwa maskini sana, kuna boda boda wanajenga majumba mazuri tu maana boda kwa siku anaweza kulaza hadi elf 40 hasa kwenye miji mikubwa, kwa tajiri huwa wanapeleka elf 10 tu hivo kwa siku wanalala na elf 10 jadi 30. Aniambie watumishi wa serikali kima cha chini wanalala nanbei gani kwa siku. Kabla ya kuja kutapika ujinga basi awe anafanya utafiti kidogo. Kukaa ubeligiji sio akili
 
Mtumishi wa serakali ndo hao wanapa vijana bodaboda kila siku wanawalete elfu 10,000/=

We ndo mjinga mtumishi wa umma akistaafu wakati hana nguvu anauhakika wa kupewa chochote kitu kila mwisho wa mwezi acha uzwazwa hao bodaboda ni ndugu zetu tunaona struggle zao
 
Kakwambia nani bodaboda hawana savings!?..ni watanzania wote Wana savings!?..bodaboda anafanya KAZI Kwa mkataba,akitimiza mwaka pikipiki inakua yake,anauza au anampa mtu deiwaka yeye anaingia mkataba mwingine
Bodaboda wengi wana struggle ingekua ni kazi nzuri hivyo isingekua ni last option,
Watu wote wanaofanya kazi ya bodaboda ni baada ya kukosa kitu cha kufanya
 
Kakwambia nani wanastrugle!?..ulishawahi kubwa bodaboda!?..babaake omy dimpoz anapata 40+k kwa siku,bodaboda hakosi 20 kwa siku,watu wanalilia kuwa boda na hawapati!
 
Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.

Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.

Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?

Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.

Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.

Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.
Babu zako waliweka savings wapi?

Mbona watu wanaishi tu jamani
Mbona mnataka kuingilia mambo ya Mungu jamani

We weka iyo saving yko sisi tuna Mungu ambae ametuahidi maisha mazuri tu endapo tukimcha yeye pekee pasina kumshirikisha na chochote
 
Unafananisha watu waliokua na mashamba na ngombe na bodaboda ambaye anazaliwa mpaka anakua hana hata shamba la bustani

Kwa akili yako unaona maisha ya mababu zako na sahivi yako sawa
 
😂 asubuhi nilisikiliza power breakfast wanaoongelea kupeleka watoto boarding,
wakasema huko tunakoenda nyumba za kutunzia wazee zitahusu,
primary tu mtoto ashapelekwa boarding na we ukizeeka unapelekwa pa kulelea wazee 😁
 
Back
Top Bottom