Savings yenyewe haitoshi hata sukari wazee wanakufa kwa frustrations tuSavings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.
Huyu mwanzisha mada amepewa 'kipande' Cha kuandika hajafanya discussion kichwani kabla ya kuchapisha hapa.Kinyume cha umasikini ni nini?
Sio kweli ndugu acha kupotishsSavings yenyewe haitoshi hata sukari wazee wanakufa kwa frustrations tu
Kakwambia nani bodaboda hawana savings!?..ni watanzania wote Wana savings!?..bodaboda anafanya KAZI Kwa mkataba,akitimiza mwaka pikipiki inakua yake,anauza au anampa mtu deiwaka yeye anaingia mkataba mwingineGodbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.
Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.
Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?
Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.
Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.
Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.
Sipotoshi fanya utafiti wastaafu wangapi kati ya wangapi wapo hai kutoka 2010 hadi 2020, nimefanya kazi na watu kati ya 2005 hadi 2015 walistaafu na katika 50 niliowafahamu 35 hawapo dunianiSio kweli ndugu acha kupotishs
Lema ni mjinga, kabla ya ujio wa bodaboda watu walikuwa maskini sana, kuna boda boda wanajenga majumba mazuri tu maana boda kwa siku anaweza kulaza hadi elf 40 hasa kwenye miji mikubwa, kwa tajiri huwa wanapeleka elf 10 tu hivo kwa siku wanalala na elf 10 jadi 30. Aniambie watumishi wa serikali kima cha chini wanalala nanbei gani kwa siku. Kabla ya kuja kutapika ujinga basi awe anafanya utafiti kidogo. Kukaa ubeligiji sio akiliGodbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.
Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.
Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?
Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.
Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.
Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.
Mtumishi wa serakali ndo hao wanapa vijana bodaboda kila siku wanawalete elfu 10,000/=Lema ni mjinga, kabla ya ujio wa bodaboda watu walikuwa maskini sana, kuna boda boda wanajenga majumba mazuri tu maana boda kwa siku anaweza kulaza hadi elf 40 hasa kwenye miji mikubwa, kwa tajiri huwa wanapeleka elf 10 tu hivo kwa siku wanalala na elf 10 jadi 30. Aniambie watumishi wa serikali kima cha chini wanalala nanbei gani kwa siku. Kabla ya kuja kutapika ujinga basi awe anafanya utafiti kidogo. Kukaa ubeligiji sio akili
Kibaya ni kibaya tu haijalishi wewe unakifanyaWhat if mleta mada ungekua ww ndio bodaboda?
Bodaboda wengi wana struggle ingekua ni kazi nzuri hivyo isingekua ni last option,Kakwambia nani bodaboda hawana savings!?..ni watanzania wote Wana savings!?..bodaboda anafanya KAZI Kwa mkataba,akitimiza mwaka pikipiki inakua yake,anauza au anampa mtu deiwaka yeye anaingia mkataba mwingine
Kakwambia nani wanastrugle!?..ulishawahi kubwa bodaboda!?..babaake omy dimpoz anapata 40+k kwa siku,bodaboda hakosi 20 kwa siku,watu wanalilia kuwa boda na hawapati!Bodaboda wengi wana struggle ingekua ni kazi nzuri hivyo isingekua ni last option,
Watu wote wanaofanya kazi ya bodaboda ni baada ya kukosa kitu cha kufanya
Babu zako waliweka savings wapi?Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda.
Savings
Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza.
Mimi nasimama na Lema, hawa bodaboda nani atakayewatunza wakiwa wazee kipindi ambacho mtu nguvu huna na unaandamwa na magonjwa?
Sio tu bodaboda, ukienda huko viwandani kuna vibarua wengi viwanda haviwawekei savings, wamachinga, wakata lain wengi, yote haya magroup hayana savings hata ya miezi sita.
Laana
Kama unafanya kazi na huna savings anagalau ya mwaka 1 au hata miezi sita hiyo kazi ni ya laana, jitafakari na uchukue hatua.
Wengi wao wanaomponda au kumbeza Godbless Lema wanaupeo mdogo, yaani wanafikiri leo na sio miaka 20 au 30 ijayo. Taifa liifanyie kazi kauli ya Lema na sio kumbeza sababu alichoongea ni ukweli mtupu.
Unafananisha watu waliokua na mashamba na ngombe na bodaboda ambaye anazaliwa mpaka anakua hana hata shamba la bustaniBabu zako waliweka savings wapi?
Mbona watu wanaishi tu jamani
Mbona mnataka kuingilia mambo ya Mungu jamani
We weka iyo saving yko sisi tuna Mungu ambae ametuahidi maisha mazuri tu endapo tukimcha yeye pekee pasina kumshirikisha na chochote