Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
AminaHalafu tujifanye hatuioni thread.Huo ndo ukweli. ..ivo tupunguze au kuacha kabisa uasi.Tafuta Mali kihalali usitafute Mali kwa kuumiza wengine.Tuache kiburi tumrudie aliyetuleta.Ee mwenyez Mungu tusamehe kwa kujisahau kwetu.
Sasa wewe unaishi maisha kama ya kikwete?Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
33 mwenzangu tumwombe Mungu atufikishe maana kufika hata 33 ni huruma zake tu.Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
Hakika hakina mwenyeweRegase nitakayoiacha itajitetea yenyewe.Mimi ni nani wa kusema nikifa mtanikumbuka wakati siyo lazima?Mwenye kununa anune ndugu zangu.Kifo hakina mwenyewe.😂😂😂😂😂
Muda muafaka wa kuusikiliza wimbo wa King Crazy GK!Nitakufaje!?Hakika hakina mwenyewe
Babu yangu hakuishi maisha bora kama Kikwete na alikufa zaidi ya umri wa Mkapa aliokufa nao.Sasa wewe unaishi maisha kama ya kikwete?
Mungu ni mwema wacha tuitafute 40 mdogo mdogo.33 mwenzangu tumwombe Mungu atufikishe maana kufika hata 33 ni huruma zake tu.
Tafsiri ya wengi ni ipi? Mbna umemuunga mkono mtoa madaOya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
Wengi humu ndani ni vijana,labda jukwaa la historia,siasa na kilimo ndio kuna wazee wengi.Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.