Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
 
Halafu tujifanye hatuioni thread.Huo ndo ukweli. ..ivo tupunguze au kuacha kabisa uasi.Tafuta Mali kihalali usitafute Mali kwa kuumiza wengine.Tuache kiburi tumrudie aliyetuleta.Ee mwenyez Mungu tusamehe kwa kujisahau kwetu.
 
Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
 
Amina
 
Sisi wengine tumeanza kunywa gongo tukiwa na miaka 16 sasa hv maini na Figo zishaungua..tuombeeni maana 30 mingi pengine 10 ijayo kweli asee itabidi tuanze kujiandaa tuache tabia mbovu za umalaya,ufiraji,ufisadi,n.k
 
Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
Tafsiri ya wengi ni ipi? Mbna umemuunga mkono mtoa mada
 
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Wengi humu ndani ni vijana,labda jukwaa la historia,siasa na kilimo ndio kuna wazee wengi.

Binafsi ntakuwa bado Saaana inshala ndio kwanza ntakuwa nastaafu.
 
Back
Top Bottom