Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.