Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Kama una miaka 20 now utakua na 52 so tutakufaje
 
Asante sana mkuu umenisaidia kutumia busara kutafsiri kwa usahihi dhamira yangu 👊
 
Kuna "regasi" imeshaachwa pambanieni hiyo
 
Kufa kupo ila swali la muhimu zaidi ni :-

''Je Ukifa utaenda wapi?
 
Kawaida tu,hakuna kuishi milele
 
Mkuu ndie mimi Maghayo na Nguseroh uliyeahidi utaniua kwa kuwaibia TV chogo 1988
 
Parapanda ikilia sijui tuta juana Kwa majina yetu Og sijui na miposti yetu tutaikuta huko sijui kutakua na Jf huko aaah all in all tujiandae tu.aaah au basi tu....
 
Mmh Mimi nnavozikata double kick Kila siku lazima kichupa kimoja nitumie.. achaneni na Mimi na stress. Sa ntafanyaje !..
 
Cha ajabu nini anazaliwa mtoto leo anakufa leoleo na hana dhambi sasa Mungu akuache we mcheza kamari kazi kubet , unakesha Bar umemaliza mabox ya condom kwa uzinzi usife una faida gan
 
Namsubiri mshana Jr atoe maelekezo yake kwanza ndio ni comment mawazo yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…