Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una miaka 20 now utakua na 52 so tutakufajeAsilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Asante sana mkuu umenisaidia kutumia busara kutafsiri kwa usahihi dhamira yangu 👊Mi nimemuelewa muanzisha uzi kwa namna nyingine kabisa, wakati tunawaza kuhusu lini itakuwaje humu ndani kuna watu wana idea nzuri sana, wana mafundisho na maonyo mbalimbali ambayo wamepata kuyafahamu katika harakati za kila siku za maisha yao, na wana uzoefu, uelewa, ufahamu wa masuala mbaoimbali yenye tija na kutoa mwangaza kuhusiana na masuala kadha wa kadha ambayo kama tukiamua kuyaweka bayana basi huweza kuwa urithi kwa vizazi vijavyo
tukumbuke tu teknolojia haisahau, hivyo kama kuna kitu unahisi kitakuwa na manufaa kwa kizazi hiki hata kijacho anzisha uzi elimisha na toa maarifa kwa jamii, itasaidia sana.
Kuna "regasi" imeshaachwa pambanieni hiyoAsilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Kawaida tu,hakuna kuishi mileleAsilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Mkuu ndie mimi Maghayo na Nguseroh uliyeahidi utaniua kwa kuwaibia TV chogo 1988Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Parapanda ikilia sijui tuta juana Kwa majina yetu Og sijui na miposti yetu tutaikuta huko sijui kutakua na Jf huko aaah all in all tujiandae tu.aaah au basi tu....Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
[emoji3064]Najua memba wengi wa jf ni 30+ sasa plus 30 itakukuta alone kaburini.
kwani kabla ya kuzaliwa ulikua wapi?Kufa kupo ila swali la muhimu zaidi ni :-
''Je Ukifa utaenda wapi?