Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Kwa kweli Mm ntakua Hai kabisa Na Miaka 71 sijui kama nitakua naweza yale mambo
 
Umri mara nyingi Inategemea na Genetic za ukoo wenu.

Kama kwenu wengi wenu Wazee walikufa wakiwa na 80+ inamaana hata wewe unaweza kutoboa hiyo 80+

Lakini kama kwenu ulizaliwa hujakuta hata Babu mmoja na wote walikufa chini ya miaka 60 au kina Babu/Bibi mmoja alivukq basi jua kabisa wengi wenu hamtotoboa 60.

Kuishi miaka mingi ni suala la kijenetiki na kiroho.

Nitaanzisha mada hiyo
 
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Kufa kupo tu, hakuna ajuae amebakiza hatua ngapi kukifikia, ila hiyo miaka daaaa
 
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.

Dah! Kuna uwezekano mkubwa hii mada yako kabla ya kuileta hapa jukwaani, ulipata ushauri kutoka kwa Izraeli Mtoa roho za watu.

Ila bado hatutishiki, hatubabaiki! Tufike, tusifike! Itajulikana huko huko.
 
Umri mara nyingi Inategemea na Genetic za ukoo wenu.

Kama kwenu wengi wenu Wazee walikufa wakiwa na 80+ inamaana hata wewe unaweza kutoboa hiyo 80+

Lakini kama kwenu ulizaliwa hujakuta hata Babu mmoja na wote walikufa chini ya miaka 60 au kina Babu/Bibi mmoja alivukq basi jua kabisa wengi wenu hamtotoboa 60.

Kuishi miaka mingi ni suala la kijenetiki na kiroho.

Nitaanzisha mada hiyo
Kidogo naanza kukuelewa hiviii

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mi nimemuelewa muanzisha uzi kwa namna nyingine kabisa, wakati tunawaza kuhusu lini itakuwaje humu ndani kuna watu wana idea nzuri sana, wana mafundisho na maonyo mbalimbali ambayo wamepata kuyafahamu katika harakati za kila siku za maisha yao, na wana uzoefu, uelewa, ufahamu wa masuala mbaoimbali yenye tija na kutoa mwangaza kuhusiana na masuala kadha wa kadha ambayo kama tukiamua kuyaweka bayana basi huweza kuwa urithi kwa vizazi vijavyo

tukumbuke tu teknolojia haisahau, hivyo kama kuna kitu unahisi kitakuwa na manufaa kwa kizazi hiki hata kijacho anzisha uzi elimisha na toa maarifa kwa jamii, itasaidia sana.
 
Mkuu
Umri mara nyingi Inategemea na Genetic za ukoo wenu.

Kama kwenu wengi wenu Wazee walikufa wakiwa na 80+ inamaana hata wewe unaweza kutoboa hiyo 80+

Lakini kama kwenu ulizaliwa hujakuta hata Babu mmoja na wote walikufa chini ya miaka 60 au kina Babu/Bibi mmoja alivukq basi jua kabisa wengi wenu hamtotoboa 60.

Kuishi miaka mingi ni suala la kijenetiki na kiroho.

Nitaanzisha mada hiyo
Mkuu mimi nakufuatilia sana yani wewe ndio umeongea kitu kinachotisha kwa watu wengi maana sasa kila mtu ataamgalia kizazi chake kiliishi kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom