Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Natarajia kuzaliwa nchi fulani...Legacy ya nini wakati kwenye reincarnation unaweza kuzaliwa Jeff Bezos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natarajia kuzaliwa nchi fulani...Legacy ya nini wakati kwenye reincarnation unaweza kuzaliwa Jeff Bezos.
Kufa kupo tu, hakuna ajuae amebakiza hatua ngapi kukifikia, ila hiyo miaka daaaaAsilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Kidogo naanza kukuelewa hiviiiUmri mara nyingi Inategemea na Genetic za ukoo wenu.
Kama kwenu wengi wenu Wazee walikufa wakiwa na 80+ inamaana hata wewe unaweza kutoboa hiyo 80+
Lakini kama kwenu ulizaliwa hujakuta hata Babu mmoja na wote walikufa chini ya miaka 60 au kina Babu/Bibi mmoja alivukq basi jua kabisa wengi wenu hamtotoboa 60.
Kuishi miaka mingi ni suala la kijenetiki na kiroho.
Nitaanzisha mada hiyo
Njoo uchukue rambirambi yako mapema usijesema sikukuchangiaBinafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa
YeYe kasema nusu. Wengi inaweza kuwa robo ama theluthi.Tafsiri ya wengi ni ipi? Mbna umemuunga mkono mtoa mada
Itakuwepo ila haitokuwa ya Melo.
Mkuu mimi nakufuatilia sana yani wewe ndio umeongea kitu kinachotisha kwa watu wengi maana sasa kila mtu ataamgalia kizazi chake kiliishi kwa muda gani?Umri mara nyingi Inategemea na Genetic za ukoo wenu.