Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Issue sio kufa!
Unajua ukifa unaenda wapi ? Umejiandaa?
Wakati ni huu,amua ss!
 
Kufa lazima hakuna akataye ishi milele

Ova
 
Ntakua na miaka 50 hv hadi miaka 30 ijayo inatimia i believe ntakuepo na ntakuja ku quote hii comment[emoji16]
 
Dah. Our time is near aisee! Mungu turehemu na tutimize kusudio la Kutuleta
 
Back
Top Bottom