Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Nilikuwa tumboni.kwani kabla ya kuzaliwa ulikua wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa tumboni.kwani kabla ya kuzaliwa ulikua wapi?
Issue sio kufa!Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Ninaamini kadri umri wako unavyosogea, ipo siku nafsi yako itakusuta sana kwa kuanzisha ule uzi!!Nitakufaaa ila kula kimasihara itadumu mpaka siku Jf ikifaaa