Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuandika ulijifunzua sebuleni?Tatizo sijaenda shule
Na usikanyage kwetu. Ukija nakusemea.Wanaofanya hivyo waache, ikithibitika pasi na shaka, wafungwe hata Maisha.
NdioKuandika ulijifunzua sebuleni?
Zima radio ukalale.Ndio
Poa ma mdogoZima radio ukalale.
Kwanini unasisitiza neno jera, jera!Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI.
Mawazo yangu juu hali hiyo,
Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo:
Maana ukweli ni kuwa kesi nyingi zinaishia polisi sio kwa uzembe wa polisi hapana, mara nyingi huwa na makubaliano ya wazazi wa pande zote mbili mvulana aliyetia mimba na wazazi wa msichana aliyetiwa mimba.
- Kutuhumiwa kwa kujihusisha na kutembea na mwanafunzi (kufanya nae mapenzi)@jera miaka 5
- Kumpa mwanafunzi ujauzito Jera mpaka atakapojifungua na kupimwa DNA
- Kama mtuhumiwa ikigundulika alijihusisha mojakwamoja kwa kumpa mimba mwanafunzi baada ya vipimo hivyo vya DNA basi iwe Jera miaka 10-15 itategemea na tukio lenyewe yaani ubakaji wenyewe.
Hata mzazi na hasira kiasi gani linapokuja swala la miaka 30 jera moyo wa kibinadamu huja.
Hakuna Sheria ya kutuhumiwa,ni Hadi upatikane n'a hatia kwa maana ya ushahidi ikiwemo na DNASafi kabisa. Maana sheria yetu ipo kwa kutuhumiwa tu miaka 30 jera. Ndio maana nikasema kwanza iwe ya mda mfupi alafu mtoto akizaliwa wapime DNA alafu ndio kifungo japo cha 15 au 10
Sheria hii ni kandamizi, imeangalia na kupendelea upande mmoja tu wa jinsia ya kike. Kwa upande wa adhabu ulipaswa kuwa wote Mtia Mimba na Mtiwa Mimba wote wanastahili adhabu, kwa mfano, Kama Mtia Mimba anahukumiwa kifungo cha miaka thelathini jela, basi Mtiwa Mimba naye afungwe jela hata kwa kipindi cha robo ya muda wote ambao mtia mimba anatumikia. Hii ingesaidia kutoa kitisho na fundisho kwa watenda kosa wote(mume na mke).Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI.