Miaka 30 ni mingi sana lazima kesi zitaishia Polisi

Kwanini unasisitiza neno jera, jera!
JERÀ
JELA.
 
Mpaka leo sijaona mtu aliefungwa 30 kisa kumpa mwanafunzi mimba na wanaendelea kuzibeba mpka wanaundiwa mfumo wa kuduri shule kiufupi kama tunataka kumlinda mtoto wa kike basi tuanze kwenye malezi sio kuwaacha alafu wakiharibika hawarekebishiki wakivunja ungo wanaruka kama ndama lazima watulizwe na mkuyenge
 
Miaka 30 ni kukomoana tu na kuitia hasara serikali,miaka miaka adhabu ingeanzia mwaka mmoja mpaka miaka mitatu kulingana na umri wa binti.
Ila hawa wanaolawiti watoto waongezewe adhabu ,kabla ya kuanza kutumikia kifungo cha maisha walawatiwe mwezi mzima.
 
Safi kabisa. Maana sheria yetu ipo kwa kutuhumiwa tu miaka 30 jera. Ndio maana nikasema kwanza iwe ya mda mfupi alafu mtoto akizaliwa wapime DNA alafu ndio kifungo japo cha 15 au 10
Hakuna Sheria ya kutuhumiwa,ni Hadi upatikane n'a hatia kwa maana ya ushahidi ikiwemo na DNA
 
Sheria hii ni kandamizi, imeangalia na kupendelea upande mmoja tu wa jinsia ya kike. Kwa upande wa adhabu ulipaswa kuwa wote Mtia Mimba na Mtiwa Mimba wote wanastahili adhabu, kwa mfano, Kama Mtia Mimba anahukumiwa kifungo cha miaka thelathini jela, basi Mtiwa Mimba naye afungwe jela hata kwa kipindi cha robo ya muda wote ambao mtia mimba anatumikia. Hii ingesaidia kutoa kitisho na fundisho kwa watenda kosa wote(mume na mke).
 
Kesi Kama hii kwa mwanaume ukiona umechomoka Basi wamekumalizia mtaji na unaliwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…