Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

mtindo wako wa maisha tuu....40yrs unatakiwa usugue haswaa broo😎
 
Mkuu, huyu hajui mambo ya ndoa, mwaka, 2017 kuna binti huku niliko alipata m humba mtoto wa mchungaji, wakina mama wa kanisani mke wangu akiwemo si unajua tena wanavyokuwaga na viherehere, mambo yakaenda vizuri tu, ndoa ikafungwa kanisani watu pilau wakala na wamama wa viherehere vigeregere wakapiga, bibi harusi huyoo akaenda kwa mumewe, hakuolewa mbali sana na kwao hata mwendo wa mguu anaweza tembea akafika. My point sasa, ndoa ilidumu hardly miezi 2, siku moja naelekea job namuona huyo binti kwao, nikawaza huyu miezi 2 tu amekumbuka kwao! Nikaenda zangu job, usiku wakati tunapeana umbea na wife si nikamuuliza, vipi binti mliyeoza mbona nimemuona kwao? Akajibu hivi sijakupa ubuyu! Yule binti kijana aliyemuoa inasemekana ananguvu za ziada kwenye kunyanduana, nikasema hilo linatatizo gani kama kijana anajiweza? Akasema siyo hivyo, yaani muda wote anataka vyombe, binti akiwa anafua, anapika, anakula au hata anaongea na watu, jamaa anaita, binti akichelewa anakuta jamaa hadi anavibrate hadi mate yanatoka! Nikauliza ikawaje sasa, akajibu binti mwanzoni alivumilia kwa kuhisi labda baadae jamaa atazoea mbususu aache kumsumbua lakini wapi, kukicha Bora ya jana. Binti akamueleza mama mkwe wake, mama mkwe akamshirikisha mumewe, kikao chao kikajadili kuwa binti ameenda kuolewa, na anachofanya kijana wao ni tafsiri halisi ya ndoa hivyo binti atimize wajibu wake kwa mumewe. Binti akaona cha kufia nini akaamsha popo kurudi kwao. Hadi muda huu naandika binti yupo kwao, hajaolewa anajishughulisha na ufundi cherehani. Mnisamehe kwa maelezi marefu na kiswahili kibaya ambacho baadhi yenu humu mmechangia kuni- influence.
Alikutana na vichapo haswa hata huyu akikutana na vichapo mfululizo wiki tatu lazima alale na suruali za jeans tatu
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
We si ulikuwa unasimamia kama baiskel 😎
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Huna time? Huyo mwenye tunda aliondoka Kwao kuja kufanya nini Kwako
 
Weka utaratibu wa kupeleka moto at least mara moja kwa wiki na iwe shughuli kweli kweli.
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Ni tatizo la kisaikolojia tu. Kuna wenye umri zaidi yako wanatikisa rungu kikamilifu.
 
Ni tatizo la kisaikolojia tu. Kuna wenye umri zaidi yako wanatikisa rungu kikamilifu.
Ale matunda kwa wingi, na kunywa glass Moja ya maji baada ya kuloweka vitunguu swaumu vilivyo pondwa pondwa kila siku angalau Kwa muda wa wiki mbili atapata majibu mazuri, (positive results)
 
Kipind Cha kuchapiwa na vijana hiki sasa apo ndo mamaa yupo hot balaa 😅😅
 
Kama upo Dar ni kawaida tu mkuu. Wanaume wa Dar ndivyo walivyo. Miaka 40 Watoto 2 !
Huku mkoani miaka28 Watoto 4.

Sawa nimekuelewa
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
s
 
Kuna kitu wengi hawaki zumgumzii. Jamaa kasema Kuna wakati yeye ndo alikua msumbufu. Huwa inafika wakati unachoka kuomba kila siku. Nguvu anazo ila alikubaliana na Ile Hali kwamba kila nikitaka mwenzangu amechoka. Subconsciously anabaki owky nielekeze nguvu kwingine. Kaeni nguvu hayo matatizo ya kunyimana halafu uone kama hamu haijarudi tena.
 
Back
Top Bottom