Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Sio lazima ule tunda moja tu kila siku! Badala yake jaribu kula matunda tofauti kama mapapai, matikiti maji, maembe, nk.
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.

Kwisha habari yako bro. Miaka 40 ni kiduchu sana.
Hayo ni madhara ya kutumika kupita kiasi.
Wee subiri tuanze kukusaidia.
😛
 
Back
Top Bottom