Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Hutamani tunda moja tu au matunda yote? Kuna matunda ukiyaona tu unaweza kula bila hata kumenya maganda, tunda kama limedondoshwa toka juu.
 
Ninachotaka kukuambia ni kuwa Mwanamke hachepuki kwasababu tu ya kukosa Dushe au kukosa pesa, unaweza kumpa yote hayo na akachepuka na akazaa na Mwanaume mwingine....huwezi kujua kuwa wanataka nini hasa.
Unataka kusema "nifanye kadiri ya uwezo huwezi kumridhisha mwanamke" napokea ushauri, lkn kutoku🖕hata mara moja moja ni issue pia.
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Mmmh
 
Kuna vitu 3 vikuu husababisha hii hali:
1:Huli vyakula vya protein or bibie hakupikii hivyo vyakula
2: Stress hua ni shida kubwa kwa waliowengi and hasa mijini
3:Kuzoea mazingira,token hata kwa mwezi mara moja mnaenda sehemu tofauti na home hua inasaidia sn kurejesha mahusiano.

Nyongeza
Fanya maombi sana usijekua umetembelewa na mapepo but ibada nimuhimu sn kwako.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom