Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Kuna vitu 3 vikuu husababisha hii hali:
1:Huli vyakula vya protein or bibie hakupikii hivyo vyakula
2: Stress hua ni shida kubwa kwa waliowengi and hasa mijini
3:Kuzoea mazingira,token hata kwa mwezi mara moja mnaenda sehemu tofauti na home hua inasaidia sn kurejesha mahusiano.

Nyongeza
Fanya maombi sana usijekua umetembelewa na mapepo but ibada nimuhimu sn kwako.
 
Kula matunda mbali imbali usiku kula kiasi na mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…