Miaka 44 ya CCM inayoongoza nchi huku kikiwa kimekufa

Miaka 44 ya CCM inayoongoza nchi huku kikiwa kimekufa

Yetu macho.
Zimeanza kuibuka kelele za kuongezeana mihula. Mtamuongezea mitano atakuja mwingine atakataa kabisa kutoka kama yule chizi wa uganda ambaye anabadilisha hata miaka ya kuzaliwa . Tupo hapa
Watu wanashindwa kuona machafuko yaliyotokea nchi nyingine kwa kuchezea katiba???
 
Mkuu sijui CCM wamekufanya nini asee, mbona umegeuka sana?

1. Ni ishu za uteuzi?
2. Upo kwa kazi maalumu, Umetumwa kuingiza watu chaka?
3. Pamoja na kuiponda CCM na serekali yake siku hizi, je bado unamkubali sana kimahaba JPM?
Ukiona hivyo ujue ameporwa ulaji wake! Ni suala tu la muda. Vilio vitatamalaki kila upande. CCM ya sasa ni mali ya mtu mmoja.

Akiamua kukupa huo ulaji, anakupa tu na pasipo kuhojiwa na chombo chochote au mtu yeyote yule. Akiamua kukutimua, anakutimua! Akiamua kukunyima ulaji, anakunyima tu. Na mwisho wa siku unaishia kufa kisiasa kimya kimya. Wako wapi akina Peter Serukamba, Husna Mwilima, Hassan Masala, na wengineo wengi!!
 
Ukiona hivyo ujue ameporwa ulaji wake! Ni suala tu la muda. Vilio vitatamaliki kila upande. CCM ya sasa ni mali ya mtu mmoja.

Akiamua kukutimua, anakutimua! Akiamua kukunyima ulaji, anakunyima tu. Na mwisho wa siku unaishia kufa kisiasa kimya kimya. Wako wapi akina Peter Serukamba, Husna Mwilima, Hassan Masala, na wengineo wengi!!
Kuweni waelewa acheni kuropoka kama watu msio na fikra.
 
Fanya tathimini ya nilichoandika utapata majibu.

Kila siku tunakuambia ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na vile sasa hivi kinaongozwa na mlevi wa madaraka mwenye silika ya uongo, basi anaendesha nchi kwa shuruti na ghiliba za hali ya juu. Hii ndio sababu kwenye chaguzi zetu kwa sasa tunaona chaguzi za kishenzi, ukatili, mauaji na uhayawani wa wazi ili ccm iendelee kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Kuweni waelewa acheni kuropoka kama watu msio na fikra.
Wewe kipindi kile watu wanakwambia ubaya wa CCM ulivyokuwa unajibu vile ulikuwa muelewa au bumunda?

Ulikuwa na fikra au ulikuwa msukule?

Unajua mchango wako ni kiasi gani katika kuwapa nchi hao CCM unaowaita mfu?
 
CCM iliyopo ni sanamu ya kuchonga,waliopo ndani ni wajanja wa Mjini na Shamba.Hawana sababu ya kutenda/kujali/kujadili hoja za Wananchi wala Ilani na Sera yoyote Bali asemalo Mzee Baba.Wanahali mbaya ndani kwa ndani ila wanajitahidi kutabasamu huku wanalia(Sardonic Faces)!!!
Hakuna Sheria ama Kanuni yoyote ya Utawala Bora inayozingatiwa.
Bila Katiba Mpya ya Wananchi wa Tanzania (Tanganyika+Zanzibar=TANZANIA) tunaangamizwa.Hawa wameshaonja nyama za Binadamu...
 
Utakuwa umeandikiwa.Huwezi kuwa na fikra chanya km hizi zinazosadifu ukweli halisi kwamba CCM Ni chama mfu.

Kitu kimoja hujaangaziay kwamba , kipo madarakani kwa nguvu ya majeshi, polisi, Jwtz, magereza, mgambo na watu wote waovu ndani ya nchi hii.
Bila majeshi CCM haipo.
+NEC/ZEC&Jecha style Remix.
 
Kuna tatizo...yaani wewe mtu wa kuzodoa,kukejeri na kuwatukana wanao ipinga na kuikosoa CCM leo umeandika aya!!!?
Hakuna kisichokua na mwisho...toba ni muhimu pia
 
Baada ya kukosa bukusana na uteuzi sasa rasmi umeanza kukiponda chama cha nyundo na jembe la mkono
 
Ubaya WA shetani Hana rafiki wakati WA Uchaguzi unakata mauno baada ya uchaguzi anawaacha mfe na Korona ,mtaacha kukiri kuwa si rahisi kumvisha mwehu nguo?.
 
Happy Joseph
@happy_joseph1
Fikiri, eti, Wazungu wanaotuonea wivu, wakatengeneza virusi vya kuwadhuru waafrika, halafu wasivipeleke huko Afrika, wakaanza KUJITESTIA huko kwao... Jamani, si kila kauli ya mwanasiasa ni maarifa. Inashangaza watu kudhani kauli za wanasiasa ni kama AMRI ZA MUNGU. Bibi Happy J
 
Back
Top Bottom