Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.Kuna tatizo...yaani wewe mtu wa kuzodoa,kukejeri na kuwatukana wanao ipinga na kuikosoa CCM leo umeandika aya!!!?
Hakuna kisichokua na mwisho...toba ni muhimu pia
Mh...!Kila siku tunakuambia ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na vile sasa hivi kinaongozwa na mlevi wa madaraka mwenye silika ya uongo, basi anaendesha nchi kwa shuruti na ghiliba za hali ya juu. Hii ndio sababu kwenye chaguzi zetu kwa sasa tunaona chaguzi za kishenzi, ukatili, mauaji na uhayawani wa wazi ili ccm iendelee kukaa madarakani kwa shuruti.
Kukiri Yesu ni bwana wa majeshi sio kosa bali ni baraka nyumbani kwa bwana.Watu wakisema kweli inakuwa kosa.
Ahhaaa hongeraMsemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Hey my toto can we talkNa waongozwaji watakuwa wafu kabisa