Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Zimeanza kuibuka kelele za kuongezeana mihula. Mtamuongezea mitano atakuja mwingine atakataa kabisa kutoka kama yule chizi wa uganda ambaye anabadilisha hata miaka ya kuzaliwa . Tupo hapaYetu macho.
Watu wakisema kweli inakuwa kosa.Mataga taratibu wameanza kukiri Yesu ni bwnana
Ukiona hivyo ujue ameporwa ulaji wake! Ni suala tu la muda. Vilio vitatamalaki kila upande. CCM ya sasa ni mali ya mtu mmoja.Mkuu sijui CCM wamekufanya nini asee, mbona umegeuka sana?
1. Ni ishu za uteuzi?
2. Upo kwa kazi maalumu, Umetumwa kuingiza watu chaka?
3. Pamoja na kuiponda CCM na serekali yake siku hizi, je bado unamkubali sana kimahaba JPM?
Kuweni waelewa acheni kuropoka kama watu msio na fikra.Ukiona hivyo ujue ameporwa ulaji wake! Ni suala tu la muda. Vilio vitatamaliki kila upande. CCM ya sasa ni mali ya mtu mmoja.
Akiamua kukutimua, anakutimua! Akiamua kukunyima ulaji, anakunyima tu. Na mwisho wa siku unaishia kufa kisiasa kimya kimya. Wako wapi akina Peter Serukamba, Husna Mwilima, Hassan Masala, na wengineo wengi!!
Fanya tathimini ya nilichoandika utapata majibu.
Waache kuropoka nini? Nani asiyekujua hapa JF na nyuzi zako za kusifu na kuabudu? Wewe kuna sehemu ccm imekunyoosha ndio umepiga hii u-turn.Kuweni waelewa acheni kuropoka kama watu msio na fikra.
Wewe kipindi kile watu wanakwambia ubaya wa CCM ulivyokuwa unajibu vile ulikuwa muelewa au bumunda?Kuweni waelewa acheni kuropoka kama watu msio na fikra.
Mkuu umepatwa na nini? Bila shaka maslahi yako yameguswa mahali fulani, sio kwa haya mapovu unayomwaga siku hizi.
Wewe unatumiwa na mabeberu
+NEC/ZEC&Jecha style Remix.Utakuwa umeandikiwa.Huwezi kuwa na fikra chanya km hizi zinazosadifu ukweli halisi kwamba CCM Ni chama mfu.
Kitu kimoja hujaangaziay kwamba , kipo madarakani kwa nguvu ya majeshi, polisi, Jwtz, magereza, mgambo na watu wote waovu ndani ya nchi hii.
Bila majeshi CCM haipo.
Siyo kufa tu na kimeoza kabisa.