Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Kwenye hela wanawake wengi huwaga wanajitoaga ufahamu.Mwacheni mzee ale matunda ya fedha zake.
 
Wapo watu huwa hawana tofauti na shetani, wakiona wenzao wanafurahia chochote ktk maisha wanakasirika mpaka wanajikojolea. Ugonjwa wa mtu au udhaifu wowote unaoujua una uhusiano gani na furaha yake. Katika haya maisha kila mmoja ana siri yake .Hongera mzee Mengi, hongera sana, kula matunda ya jasho lako na umalize siku zako kwa furaha na amani. Waafrika tutafute pesa, tupunguze umbeya usio na faida kwako.
hii tabia ni ya kishetani kabisa ....ni wivu na ushamba wa majitu ambayo hayajastaarabika.
 
[emoji102][emoji173]U.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Kipindi cha nyuma kabisa niliwahi kutaka kubadili mfumo wa maisha, sasa ile namfungulia mlango wa gari naambiwa nipishe huko, umeanza lini!

Ukituma SMS za I love You umeibua kesi, basi nikarudi kama jeshini.

Ila najipanga upya, nitabadilika.
 
Back
Top Bottom