Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Kipindi cha nyuma kabisa niliwahi kutaka kubadili mfumo wa maisha, sasa ile namfungulia mlango wa gari naambiwa nipishe huko, umeanza lini!

Ukituma SMS za I love You umeibua kesi, basi nikarudi kama jeshini.

Ila najipanga upya, nitabadilika.
Aisee kumbe bado wapo. ...

Mazingira lakini yanachangia. ...

Kila mwisho wa sms na maongenzi inatoka tu yenyewe. ...

Hiyo ya mlango usisahau na kum buckle up [emoji16][emoji3]
 
Ilitakiwa uendelee tu angezoea mie nimejipangia kwa wiki nasema I love u kwa msg mara nne
 
Aisee kumbe bado wapo. ...

Mazingira lakini yanachangia. ...

Kila mwisho wa sms na maongenzi inatoka tu yenyewe. ...

Hiyo ya mlango usisahau na kum buckle up [emoji16][emoji3]

Hahaha!

Bongo ngumu sana hizi swaga, nina rafiki yangu mmoja, toka nimemfahamu mpaka leo he lives this kind of life.

More than 12 years, zamani tukiwa chuo tulikuwa tunajua atabadilika, mpaka leo yuko hivyo hivyo tu.
 
Raha sana kufanyia vitu vidogo vidogo kama hivyo. ....ila ndio umfanyie anayethamini. ....lasivyo utateseka.
 
Jamaa yangu huyo huwa namwambia nikiiga maisha yako ntakonda haraka sana.

Yaani yeye hata mkikaa bar, cha kwanza ni kumuuliza muhudumu jina lake, na anajitahidi kuweka ukaribu mpaka meza unakuwa inapendelewa.
 
Kawaida mbona. ...
Ila wapembeni watakuwa hawamuelewi mapema. ...
Ila ukikutana na atakaye ifafanua kivingine watakupa shida.
Fanya uanze mapema. ....inakupendezea [emoji6][emoji6][emoji6]

Back
Top Bottom