Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mkuu Maalim mohamed Said, sio sina hamu bali mnakasha huu umekwisha, umefikia kikomo, najiandaa kupandisha muendelezo. Mimi sii mmoja wa wale wakimbiao, bali niliamua kunyamanya baada ya kuona baadhi ya vichaa fulani humu na wenda wazimu fulani humu, wamepandisha wazimu wao, uzuri wa wazimu wa msimu hupanda kisha hushuka, hivyo kwa saa hizi hao wendawazimu, ule wazimu wao umetulia kidogo kusubiria mwezi me vu, hivyo nimerudi kwa haya mengineyo.
Bado nipo, nilikuwepo, na nitakuwepo sana!.
Mkuu Maalim Mohamed Said, Hawa vijana wako mbona hawajifunzi kwako?. Mimi sawa sijafunza kwetu na sasa ndio nafunzwa na walimwengu!. Kumbe mafunzo yenyewe ndio haya?!. Sasa hawa walichofunzwa ndicho hiki?!.
Endeleeni kunifunza ili nikiisha hitimu na mimi niyafungulie kama bomba!.
Pasco.
Pasco,
Ikiwa wewe utarudi tena na hoja za Mapinduzi ya Zanzibar utanihahakishia
kitu na wasiwasi wangu wote utakuwa umenitoka.
Je, unamjua huyu ninaemhoji hapo chini?
Pasco,
Unajua kwa nini nimekuwekea picha hii?
Shughulisha bongo lako utapata jibu.
Ukishindwa waombe akina Gombesugu, Zomba na Shariff Ritz
kuwataja wachache wakusaidie kukitegua kitendawili hiki.