Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Mkuu Maalim mohamed Said, sio sina hamu bali mnakasha huu umekwisha, umefikia kikomo, najiandaa kupandisha muendelezo. Mimi sii mmoja wa wale wakimbiao, bali niliamua kunyamanya baada ya kuona baadhi ya vichaa fulani humu na wenda wazimu fulani humu, wamepandisha wazimu wao, uzuri wa wazimu wa msimu hupanda kisha hushuka, hivyo kwa saa hizi hao wendawazimu, ule wazimu wao umetulia kidogo kusubiria mwezi me vu, hivyo nimerudi kwa haya mengineyo.
Bado nipo, nilikuwepo, na nitakuwepo sana!.
Mkuu Maalim Mohamed Said, Hawa vijana wako mbona hawajifunzi kwako?. Mimi sawa sijafunza kwetu na sasa ndio nafunzwa na walimwengu!. Kumbe mafunzo yenyewe ndio haya?!. Sasa hawa walichofunzwa ndicho hiki?!.
Endeleeni kunifunza ili nikiisha hitimu na mimi niyafungulie kama bomba!.
Pasco.

Pasco,
Ikiwa wewe utarudi tena na hoja za Mapinduzi ya Zanzibar utanihahakishia
kitu na wasiwasi wangu wote utakuwa umenitoka.

Je, unamjua huyu ninaemhoji hapo chini?

20121124_144807.jpg

Pasco,
Unajua kwa nini nimekuwekea picha hii?

Shughulisha bongo lako utapata jibu.

Ukishindwa waombe akina Gombesugu, Zomba na Shariff Ritz
kuwataja wachache wakusaidie kukitegua kitendawili hiki.
 
Wajameni, pamoja na yote naomba kukiri japo mabata ushungu walahi!, lakini na enjoy sana maandishi ya Kiarabu.
Wananikumbusha Ma Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Kassim Bin Jumaa, Nardin Hussein Shahdhilly, Comoren na wengine wengi nilikuwa nikikaa nao zitokeapo fursa. Vipi wewe Maalim Mohamed Said na wewe unazungumza kwa lafudhi hii?. Je wale masheikh wako nao wanaongea lafudhi hii ya kistaarabu kama Waarabu?.
Pasco
 
Sioni tofauti kati ya pasco na yule professor aliyesema zanzibar imeungana na zimbabwe. Wote wamekosea wote hawaijui historia ya zanzibar japokua yule professor alikosea/bahata mbaya tu lakini na wote WAMEUMBUKA. Sasa ivi pasco namwona kama yule mzee we ngonjera mzee wa nchi ya LEBANON iliyopo nyuma ya ikulu,yule aliyevuliwa uverified kwa kuendekeza uongo mpaka kumkana babake

Mkuu Ahmed Deedat,

Nafikiri itakuwa hapo unanikumbusha yule kauzu mchovu mwingine wa maisha...yaani Muhehe alowapa Wanae majina ya Ki-Chinese Yeriko Yohana Msambila aka Yericko Nyerere aka Kigoma Boy aka Jason Bourne!? Teeh! Teeh! Teeh!

Hiyo misukule yoote haiwezi kutia pua zao hapa jamvini...ninawafanzia sabra na shauku kubwa mno kujawafunda History na mambo wasoyajua kwa raha zangu! Teeh! Teeh! Teeh!

Huyo ajifanzae ati ndo Mwana wa Julius...huyo ndo kwanza hivi sasa ana myka minne u-thuluthi tangia kufika hata hiyo Mzizima!? Dah! Sasa atazungumza nini mbele ya Sheikh Mohamed Said!?

Afadhali yule Pasikali kiduchu...maana yeye ati anadai alikua akija hapa Unguja tangia enzi ile tulipokua twawapokea hao Machogo woote kwa Vibali makhsus/Passport!?...lakini kama ni kweli,si unafahamu pia yakuwa huyo Pasikali aka Pasco ni mrongo mno na anaongea mangi yaso kweli ndanimwe!? Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Tupamoja Mkuu!

Ahsanta.
 
Bila ustaarabu wa waarabu Huyu pasoko angekua saivi yuko maporini ni minyani
 
Wajameni, pamoja na yote naomba kukiri japo mabata ushungu walahi!, lakini na enjoy sana maandishi ya Kiarabu.
Wananikumbusha Ma Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Kassim Bin Jumaa, Nardin Hussein Shahdhilly, Comoren na wengine wengi nilikuwa nikikaa nao zitokeapo fursa. Vipi wewe Maalim Mohamed Said na wewe unazungumza kwa lafudhi hii?. Je wale masheikh wako nao wanaongea lafudhi hii ya kistaarabu kama Waarabu?.
Pasco

Wee Kenge...Pasikali!

Hili sasa ndo tatizo lako...wewe Najsi ilokubuhu,usojua hata maana ya Toharat Al Udhui,ungalipatia wapi fursa hata ya kuwajongelea uwatajao!?

Yaani wanizidisha hamaki,weye msukuma tapeli! Teeh! Teeh! Teeh!

Unaishi kwa kuaminisha watu wengi tu yakuwa ati wewe wafahamu usoyafahamu! Dah!...yaani wapenda mno kujinakshi kwa hayo maduchu ulonayo/uyajuayo!? Teeh! Teeh! Teeh!

Karibu Kiponda na Hurumzi,uje upakuliwe wa takrima zilo njema Yakhe!

Nijuze uwapi,maana hujanijibu bayana zangu za awali!? Je ushifika hapa Unguza!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Mkuu,

Mbona hujamuomba huyo Pasikali aka Pasco aongezee kwenye hiyo profile yake,ule uharamia wake wa ngono alokua akifanza wakti yupo RTD na mpaka hivi sasa kueneza maradhwi kwa Dada zetu wasio na hatia maskini!? Dah!

Nafikiri unaufuatilia huu mnakasha kwa utuvu na umejaribu kuchungulia bayana zoote japo kiduchu!?...basi itakua umejionea jinsi gani huyo Mkatoliki mwenye ati "Wake wanne" alivyotukana humu!? Duh!

Huoni itakuwa hajaitendea haki ile cheap/silly profile yake kwa kutojumuisha na yale makhanatha yake mangineyo alotujuza humu!?

Au Mkuu Mshikachuma wewe ndo huyo Pasikali aka Pasco mwenyewe!? Duh!

Maana Mkuu Bondia Muhammad Ally amemfuatilia huyo jamaa na ametuhadharisha yakuwa baada ya kuchemsha...hivi sasa Pasikali aka Pasco ana multiple ID's!? Duh! Mambo ya Pasikali bana yanahuzunisha mno! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.

Najiuliza sana sipati jibu,

Hivi Pasco alifikiria kitu gani hadi kufikia hatua ya kujiita "NIKUPATEJ???"",,,

Huyu jamaa mchele mchele sana
 
Last edited by a moderator:
Bila ustaarabu wa waarabu Huyu pasoko angekua saivi yuko maporini ni minyani

Mkuu Ahmed Deedat,

Kwani huyo Pasikali aka Pasco si bado tu Pasoko mpaka hii leo!? Teeh! Teeh! Teeh!

Labda tafauti kiduchu yake na wale Mapasoko wangine ni yakuwa yeye anaishi Mjini na wale bado wapo Mikumi/mbugani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Pasco unakimbia vita. Sihitaji kukukumbusha kuwa mimi na hao wewe unawaita vijana wangu tulivunja rekodi hapa JF. Hatukukimbia mjadala. Tulikusimamisheni kwa miezi sita mpaka mkajua sie nani. Rudi uwanjani au toa mbukwa.

Eti tukimbie mjadala,,,!!

Tukimbie tumkimbie nani sasa??Maalim Moh Said nakusoma kwa khushui ya hali ya juu sana,unajua hao makatonta majiti ya roho yamewachanganya moja kwa moja,

Mtu kama pasco,au yericko wa kutufanya sisi tukimbie mnakasha??wachovu wa maisha kama hawa na walemavu wa akili watatuambia nini sisi vijana wa Madrasa??

Waoga sana,wanakimbia hadi wanapitiliza maskan zao,teh teh teh....

Wsipime huu moto,utawaunguza ngozi zao hawa makatonta...!!!
 
Wajameni, pamoja na yote naomba kukiri japo mabata ushungu walahi!, lakini na enjoy sana maandishi ya Kiarabu.
Wananikumbusha Ma Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Kassim Bin Jumaa, Nardin Hussein Shahdhilly, Comoren na wengine wengi nilikuwa nikikaa nao zitokeapo fursa. Vipi wewe Maalim Mohamed Said na wewe unazungumza kwa lafudhi hii?. Je wale masheikh wako nao wanaongea lafudhi hii ya kistaarabu kama Waarabu?.
Pasco

Nadhani kwa hatua ambayo umefikwa nayo kwa sasa huna ham ya kuanzisha mauza uza yako humu ndan,

Ona unavyoongea kwa kulegeza legeza sauti kwanza,utadhani unachezwa ule mchezo wa kaumu luti..!!!

Kaza saut unapozungumza na madume ya shoka,usijitoe ufahama na kujivisha uchiz wa waz waz,hapa utaendeshwa na kuchambwa wima hadi akili ikikuae sawa katonta
 
Pasco unakimbia vita. Sihitaji kukukumbusha kuwa mimi na hao wewe unawaita vijana wangu tulivunja rekodi hapa JF. Hatukukimbia mjadala. Tulikusimamisheni kwa miezi sita mpaka mkajua sie nani. Rudi uwanjani au toa mbukwa.

Maalim Mohamed Said, ahmed deedat wa JF huwa anasema huyo Pasco anapima "mto kwa miguu miwili".
 
Last edited by a moderator:
Pasco,
Ikiwa wewe utarudi tena na hoja za Mapinduzi ya Zanzibar utanihahakishia
kitu na wasiwasi wangu wote utakuwa umenitoka.

Je, unamjua huyu ninaemhoji hapo chini?

20121124_144807.jpg

Pasco,
Unajua kwa nini nimekuwekea picha hii?

Shughulisha bongo lako utapata jibu.

Ukishindwa waombe akina Gombesugu, Zomba na Shariff Ritz
kuwataja wachache wakusaidie kukitegua kitendawili hiki.

Haya Pasco. Mie mpaka unipe mji.

Majanga.
 
Last edited by a moderator:
Wajameni, pamoja na yote naomba kukiri japo mabata ushungu walahi!, lakini na enjoy sana maandishi ya Kiarabu.
Wananikumbusha Ma Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Kassim Bin Jumaa, Nardin Hussein Shahdhilly, Comoren na wengine wengi nilikuwa nikikaa nao zitokeapo fursa. Vipi wewe Maalim Mohamed Said na wewe unazungumza kwa lafudhi hii?. Je wale masheikh wako nao wanaongea lafudhi hii ya kistaarabu kama Waarabu?.
Pasco

Pasco
Sijigambe mja mjawalana weye, hiyo hadhi ya kuwapakatia hata malapa ya Msalani hukuthubutu/ huthubutu patapo kurubia, vipi vikazini mwao ukurubie faasiq kama weye ulolaanika nyumani mbeleni weye?

Umekithiri kwa visa viso shaka, sasa umetahayuri mambo yamekufika, hujui wakumdadi,

Zijana za Madaaris walikikaa kimya, ukaona popote/ lolote waeza nena humu Jf, kwa kuzidia ubazazi wako, hapa umefikwa na dhoruba zisoshikika,

Sasa huu ulikuwa moto wa pumba / jivu nawe kwa uyingao ukajikita katikati sasa subiri ukwive kama kiazi kikuu,

Maulizo yangu yapo pale pale juu ya wale mabinti zetu wa Kizanzibar na hususa yule Bi' Salma binti Said namna ulivyomvundia yake hishma kwa yako matusi, je, hukubahatika kupatapo mtoto/watoto katika wao?
 
Zanzibar imetoa asilimia 11.02 ya hisa iloanzisha Benki Kuu (BOT) lakini haikupata gawio lolote la faida (dividend) kwa miaka 28 tokea 1966 – 1994. Na baada ya hapo imekuwa ikipewa gawio la asilimia 4.5 badala ya asilimia 11.02 ya kima cha hisa katika mtaji uloanzisha BOT. - Ismail Jussa
Usimsikilize Jusaa, hebu kamwite hap[a aje atujuze ni kiasi gani Zenji imechangia uendeshaji wa serikali ya muungano?
 
Nimemsoma na akiongea ntamsikiliza, unataka kunivua Uhuru wa kusikiliza?
 
Pasco
Sijigambe mja mjawalana weye, hiyo hadhi ya kuwapakatia hata malapa ya Msalani hukuthubutu/ huthubutu patapo kurubia, vipi vikazini mwao ukurubie faasiq kama weye ulolaanika nyumani mbeleni weye?

Umekithiri kwa visa viso shaka, sasa umetahayuri mambo yamekufika, hujui wakumdadi,

Zijana za Madaaris walikikaa kimya, ukaona popote/ lolote waeza nena humu Jf, kwa kuzidia ubazazi wako, hapa umefikwa na dhoruba zisoshikika,

Sasa huu ulikuwa moto wa pumba / jivu nawe kwa uyingao ukajikita katikati sasa subiri ukwive kama kiazi kikuu,

Maulizo yangu yapo pale pale juu ya wale mabinti zetu wa Kizanzibar na hususa yule Bi' Salma binti Said namna ulivyomvundia yake hishma kwa yako matusi, je, hukubahatika kupatapo mtoto/watoto katika wao?

Maulana Wabara,

Bismi natakadam,pokea zangu Salaam!

Hizo lahaja,nakshi,vikorombwezo na istilahi za Ki-An'juan ulotanganya na Ki-Mtang'ata,huyo Msukuma-mwitu aitwae Pasikali aka Pasco...aaanzi wapi hata ati kukufahamu kwayo lonena,YaRabbi Ya Ma'nani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Usimsikilize Jusaa, hebu kamwite hap[a aje atujuze ni kiasi gani Zenji imechangia uendeshaji wa serikali ya muungano?

Yombayomba
Haya sasa ngojea kabla ya kumsikiza Jussa tukusikize weye mwenye kuyua undani,

Hebu tujuvye hapa jamvini ilikuwa vipi katika hilo ili tusiporidhika ndo tumuite Jussa naye atetee kama tutakuwa na haja .....!?
 
Mkuu Maalim mohamed Said, sio sina hamu bali mnakasha huu umekwisha, umefikia kikomo, najiandaa kupandisha muendelezo. Mimi sii mmoja wa wale wakimbiao, bali niliamua kunyamanya baada ya kuona baadhi ya vichaa fulani humu na wenda wazimu fulani humu, wamepandisha wazimu wao, uzuri wa wazimu wa msimu hupanda kisha hushuka, hivyo kwa saa hizi hao wendawazimu, ule wazimu wao umetulia kidogo kusubiria mwezi me vu, hivyo nimerudi kwa haya mengineyo.
Bado nipo, nilikuwepo, na nitakuwepo sana!.
Mkuu Maalim Mohamed Said, Hawa vijana wako mbona hawajifunzi kwako?. Mimi sawa sijafunza kwetu na sasa ndio nafunzwa na walimwengu!. Kumbe mafunzo yenyewe ndio haya?!. Sasa hawa walichofunzwa ndicho hiki?!.
Endeleeni kunifunza ili nikiisha hitimu na mimi niyafungulie kama bomba!.
Pasco.
Kumbe una matusi mpaya tofauti na yale uliotutukania dada zetu wa Gerezani na Unguja ulipokuwa RTD.

Mie nakaa kitako nasubiri hayo matusi mapya uyafungulie kama bomba.

Teh teh teh
 
Pasco,
Ikiwa wewe utarudi tena na hoja za Mapinduzi ya Zanzibar utanihahakishia
kitu na wasiwasi wangu wote utakuwa umenitoka.

Je, unamjua huyu ninaemhoji hapo chini?

20121124_144807.jpg

Pasco,
Unajua kwa nini nimekuwekea picha hii?

Shughulisha bongo lako utapata jibu.

Ukishindwa waombe akina Gombesugu, Zomba na Shariff Ritz
kuwataja wachache wakusaidie kukitegua kitendawili hiki.
Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kutuwekea picha kuupendezesha huu mnakasha wa mengineyo, kiukweli upendezea na hilo vazi, sikujua kumbe na wewe pia?, huyo wa pili pia kapendezea na hiyo kanzu yake kama ya kule Arabuni, Omani!.
  1. Kwanza simjui huyu ni nani wala sihitaji kumjua, ila ukiona anapaswa kujulikana, utamtaja kama nilivyosema siwajui makomred na ukawataja!.
  2. Unawasiwasi gani kuhusu hoja zangu za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hadi kunitaka nikuhakikishie kitu ili huo wasiwasi ukitoke?.
  3. Sijui ni kwanini umeniwekea hii picha, ila lengo la picha yoyote huwa nalifahamu!.
  4. Sishughulishi bongo yangu hata chembe kumjua ni nani na umemuweka ili iweje unless wewe ndio umtaje mwenyewe!, na usipomtaja, mada yangu bado itapata na huwa sipandishi mada na picha zozote!, zikiwemo ni bora zaidi ila mada zangu zote zahusu bongo sio macho, hivyo nimjue, nisimjue mada itapanda, umtaje usimtaje mada itashuka!.
  5. Nimeisha shindwa, ila simuombi yoyote kunisaidia kukitengua kitendawili hiki, kwa sababu mada yangu, haitegemei kitendawili hiki!, kiwepo kisiwepo, mada itashuka!.
  6. Namalizia kukuhakikishia kuwa sikuhakikishii kitu chochote ili nipandishe mada humu, nikimaanisha kupandisha kwangu mada humu, hakukutegemei wewe Mkuu Maalim Mohamed Said, hivyo nikuhakikishie as if nakubembeleza uje uchangie, nikianzisha uko free uje, kama ili uje ndio umenitaka nikuhakikishie kitu, sikuhakikishii chochote!, nikianzisha unaweza kuja, ukiona vipi unaweza usije!.
  7. Hata hivyo ukweli unabaki kuwa mimi Pasco wa jf, nakukubali sana wewe Maalim Maalim Said kuwa una "powers from within", hivyo ukichangia mada zozote, una mvuto mkubwa na kuipaisha na kuifanya ionekana ya maana hata kama haina maana!, japo saa nyingine, mvuto huo, huwavuta wengi na kupitiliza hadi kuinekana kama ni bucha ya utumbo, licha ya wanunuzi kitoweo cha utumbo kuisongea bucha, pia huzongwa na mainzi kibao!.
  8. Nkianzisha muendelezo wa mada hizi, nitafurahi ukiwepo, ila sio kwa kukubembeleza ili uwepo as if nakutegemea wewe, ukiwepo ni bora zaidi ila hata usipokuwepo mada itapanda tuu kwa sababu wewe sio tegemeo la kupanda kwa mada humu, usipokuja nitaikosa michango muhimu, ila pia yale mazonge ya ile mi inzi yatapungua!.
Karibu!.
Pasco.
 
Yombayomba
Haya sasa ngojea kabla ya kumsikiza Jussa tukusikize weye mwenye kuyua undani,

Hebu tujuvye hapa jamvini ilikuwa vipi katika hilo ili tusiporidhika ndo tumuite Jussa naye atetee kama tutakuwa na haja .....!?
Mwiteni huyo aje hapa atuambie wanachangia kiasi gani?
 
Back
Top Bottom