Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Nimemsoma na akiongea ntamsikiliza, unataka kunivua Uhuru wa kusikiliza?
Mkuu PascoWajameni, pamoja na yote naomba kukiri japo mabata ushungu walahi!, lakini na enjoy sana maandishi ya Kiarabu.
Wananikumbusha Ma Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Kassim Bin Jumaa, Nardin Hussein Shahdhilly, Comoren na wengine wengi nilikuwa nikikaa nao zitokeapo fursa. Vipi wewe Maalim Mohamed Said na wewe unazungumza kwa lafudhi hii?. Je wale masheikh wako nao wanaongea lafudhi hii ya kistaarabu kama Waarabu?.
Pasco
Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kutuwekea picha kuupendezesha huu mnakasha wa mengineyo, kiukweli upendezea na hilo vazi, sikujua kumbe na wewe pia?, huyo wa pili pia kapendezea na hiyo kanzu yake kama ya kule Arabuni, Omani!.
Karibu!.
- Kwanza simjui huyu ni nani wala sihitaji kumjua, ila ukiona anapaswa kujulikana, utamtaja kama nilivyosema siwajui makomred na ukawataja!.
- Unawasiwasi gani kuhusu hoja zangu za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hadi kunitaka nikuhakikishie kitu ili huo wasiwasi ukitoke?.
- Sijui ni kwanini umeniwekea hii picha, ila lengo la picha yoyote huwa nalifahamu!.
- Sishughulishi bongo yangu hata chembe kumjua ni nani na umemuweka ili iweje unless wewe ndio umtaje mwenyewe!, na usipomtaja, mada yangu bado itapata na huwa sipandishi mada na picha zozote!, zikiwemo ni bora zaidi ila mada zangu zote zahusu bongo sio macho, hivyo nimjue, nisimjue mada itapanda, umtaje usimtaje mada itashuka!.
- Nimeisha shindwa, ila simuombi yoyote kunisaidia kukitengua kitendawili hiki, kwa sababu mada yangu, haitegemei kitendawili hiki!, kiwepo kisiwepo, mada itashuka!.
- Namalizia kukuhakikishia kuwa sikuhakikishii kitu chochote ili nipandishe mada humu, nikimaanisha kupandisha kwangu mada humu, hakukutegemei wewe Mkuu Maalim Mohamed Said, hivyo nikuhakikishie as if nakubembeleza uje uchangie, nikianzisha uko free uje, kama ili uje ndio umenitaka nikuhakikishie kitu, sikuhakikishii chochote!, nikianzisha unaweza kuja, ukiona vipi unaweza usije!.
- Hata hivyo ukweli unabaki kuwa mimi Pasco wa jf, nakukubali sana wewe Maalim Maalim Said kuwa una "powers from within", hivyo ukichangia mada zozote, una mvuto mkubwa na kuipaisha na kuifanya ionekana ya maana hata kama haina maana!, japo saa nyingine, mvuto huo, huwavuta wengi na kupitiliza hadi kuinekana kama ni bucha ya utumbo, licha ya wanunuzi kitoweo cha utumbo kuisongea bucha, pia huzongwa na mainzi kibao!.
- Nkianzisha muendelezo wa mada hizi, nitafurahi ukiwepo, ila sio kwa kukubembeleza ili uwepo as if nakutegemea wewe, ukiwepo ni bora zaidi ila hata usipokuwepo mada itapanda tuu kwa sababu wewe sio tegemeo la kupanda kwa mada humu, usipokuja nitaikosa michango muhimu, ila pia yale mazonge ya ile mi inzi yatapungua!.
Pasco.
Mwiteni huyo aje hapa atuambie wanachangia kiasi gani?
Usikimbie, kamwite huyo aje ajibu hapa mmechangia kiasi gani? hizi hadithi ohh koti likikubana so what, mbona chupi ikimbana hasemi?
Usimsikilize Jusaa, hebu kamwite hap[a aje atujuze ni kiasi gani Zenji imechangia uendeshaji wa serikali ya muungano?
Usikimbie, kamwite huyo aje ajibu hapa mmechangia kiasi gani? hizi hadithi ohh koti likikubana so what, mbona chupi ikimbana hasemi?
mbona waanza kuleta mas'ala ya lebasi za ndani jamani hapa jamvini!?...yombayomba kipi nawe kimekusibu ghafula hii!?
Au ndo weye pasikali umengia tena kwa mojawapo ya zile multiple id's zako,jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!
Ahsanta sana.
Sie tuisha sikiza na kuamini alichokisema Jussa, sasa ukerekaye na kukosa pumzi ua raha ni weye labuda na wenzio kama Pasiko na uwayuao weye,
Kinakushindani kueka tibyani kama unazo weye?
wagunya walahi mmelaniwa sijui kwa nini ??????????????????????
wagunya walahi mmelaniwa sijui kwa nini ??????????????????????
Mwiteni huyo aje hapa atuambie wanachangia kiasi gani?
Maulana Wabara,
Ahahaaaa!! Dah!...Yaani yanilazim nikayae japo kiduchu Yakhe!...maana ushianza nivunja hivi vijibavu vyangu dhaifu kwa vicheko!? Dah!ahahaaaa!!
Wallahi,huyo huyo Yombayomba Bin Pasiko nakhis bora nikwachie weye Maulana 'angu...maana mie kwa hivi sasa Wallahi mie ni taabani kwa kicheko!? Dah!ahahaaa!!
Yaani humu-JF ni raha iso buraha...yaani siku hizi sina hata haja tena ya kwenda tazama ati Comedy kwa malipo!? Thubutu thuma thubut! ahahaaa!!
Kwaheri Ulamaa Maalim 'angu Ibn Wabara! Teeh! Teeh! Teeh!
Ahsanta.
Samahani kidogo mkuu Ahmed Deedat,
Natoka nje ya mada kidogo Mkuu.,hivi unajua sura ya kwenye avatar yako ni mbaya sana??yan una sura mbaya hadi unatia hasira kwa kweli,umetoka shimoni kuzimu nini??
:A S-baby:
Usimsikilize Jusaa, hebu kamwite hap[a aje atujuze ni kiasi gani Zenji imechangia uendeshaji wa serikali ya muungano?
Hebu na wewe tutajie Tanganyika imechangaia kiasi gani juu ya uendeshaji wa serekali ya muungano
Samahani kidogo mkuu Ahmed Deedat,
Natoka nje ya mada kidogo Mkuu.,hivi unajua sura ya kwenye avatar yako ni mbaya sana??yan una sura mbaya hadi unatia hasira kwa kweli,umetoka shimoni kuzimu nini??
:A S-baby: