Usimsikilize Jusaa, hebu kamwite hap[a aje atujuze ni kiasi gani Zenji imechangia uendeshaji wa serikali ya muungano?
Mkuu
YombaYomba,
Jussa hana wasaa/fursa ya ati kukufuata weye Yombayomba humu-JF,kama hivyo uamrishavyo/utakavyo!
Hayo majambo ya ati "madeni" au masula ya hiyo
BOT...nafikiri pia ni very interesting subject!?
Wajua pana majambo mangi mno pasi kiasi kuyazungumza japo kiduchu...japo baadhi nakhis yalishawahi jadiliwa humu-
JF kwa kina kitambo!?...
nasi si vibaya kufanza ile
re-visit japo kiduchu!?
Kabla ya kuanza kupingana kiungwana na kwa hoja ziloshamiri kuhusu hayo ulomuuliza Mkuu
Zomba...kwanini tusianzie basi hata kwenye ile
legality ya huo ati uitwao ndo
"Muungano"!?
Maana pana
mangi mno kwenye yayo...tukua mfano kiduchu hapa tini;
- Ratification of Articles of Union
- Matters within Articles of Union
- Legality of the additional Matters
- Vienna Convention Treaty
- Merits and/or Dismerits of Union
Sasa tumsikilize japo kiduchu na huyu Muheshimiwa hapa asemaje kwayo!?...
Hon. Abubakar Ibn Bakary,the former Attorney General of Zanzibar;
" I myself have been the Zanzibar Attorney General and Minister responsible for Justice between 1984 to 1989. At that time I managed to peruse all the Statute books of Zanzibar from 1964-1979 when the
Revolutionary Council was acting as a Legislative Assembly Cum the Cabinet.
No ratification Law or any Law to that effect is there! I was not myopic,but even if I was,the first Attorney General after the Revolution-Hon. W. Dourado had also testified the same that no Law ratifying the Articles of Union exists on the
Statute Books of
Zanzibar!"
Msikize nae
Prof. Peter japo kiduchu;
"On
Mainland(Tanga-Nyikwa)...there was an open struggle between the
people on one hand and the
"new Rulers" on the other. While the people attempted to consolidate their Independence from Colonial rule,this was frustrated quite early by their very
Leaders. Guarantees of
Fundamentals rights and
freedom in a form of a
Bill of Rights were rejected by the incoming Government right at Independence"!?
Nashukuru kwa kunisikiza,na pia niwia radhi kama pana lolote labda nimenena kwa ukosefu wa
Ilm ammahukupendezwa nalondanimwe
uchechefu wangu!
Ahsanta sana.