Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Nimemsoma na akiongea ntamsikiliza, unataka kunivua Uhuru wa kusikiliza?

Usikimbie, kamwite huyo aje ajibu hapa mmechangia kiasi gani? hizi hadithi ohh koti likikubana so what, mbona chupi ikimbana hasemi?
 
Wajameni, pamoja na yote naomba kukiri japo mabata ushungu walahi!, lakini na enjoy sana maandishi ya Kiarabu.
Wananikumbusha Ma Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, Kassim Bin Jumaa, Nardin Hussein Shahdhilly, Comoren na wengine wengi nilikuwa nikikaa nao zitokeapo fursa. Vipi wewe Maalim Mohamed Said na wewe unazungumza kwa lafudhi hii?. Je wale masheikh wako nao wanaongea lafudhi hii ya kistaarabu kama Waarabu?.
Pasco
Mkuu Pasco

Unanivunja mbavu zangu kwa kucheka Mashekh hao uliowataja Nyerere mwenyewe alikuwa anawaopa hata kuwasogelea sembuse wewe kauzu, hawa Masheikh watakaa na wewe kwa lipi.

Pasco unawapa aibu kubwa Wasukuma ndugu zetu tumekaa nao kwa wema mpaka leo, nenda Misungwi, Nyangunge, Kamanga, Uzinza, Maswa, Bariadi, Nzega, Igunga, Itigi, Sarawe, Lunzewe, Tinde, Kayenze, Msalala Karumo, Katunguru, Mascat Fisi, kaone wazee wetu wa Kiislam walivyokuwa na mapenzi na Wasukuma, sijui wewe wa wapi.

Pasco nipo jamvini nasubiri kwa hamu ufungulie haya matusi kama bomba kama ulivyotoa ahadi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kutuwekea picha kuupendezesha huu mnakasha wa mengineyo, kiukweli upendezea na hilo vazi, sikujua kumbe na wewe pia?, huyo wa pili pia kapendezea na hiyo kanzu yake kama ya kule Arabuni, Omani!.
  1. Kwanza simjui huyu ni nani wala sihitaji kumjua, ila ukiona anapaswa kujulikana, utamtaja kama nilivyosema siwajui makomred na ukawataja!.
  2. Unawasiwasi gani kuhusu hoja zangu za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hadi kunitaka nikuhakikishie kitu ili huo wasiwasi ukitoke?.
  3. Sijui ni kwanini umeniwekea hii picha, ila lengo la picha yoyote huwa nalifahamu!.
  4. Sishughulishi bongo yangu hata chembe kumjua ni nani na umemuweka ili iweje unless wewe ndio umtaje mwenyewe!, na usipomtaja, mada yangu bado itapata na huwa sipandishi mada na picha zozote!, zikiwemo ni bora zaidi ila mada zangu zote zahusu bongo sio macho, hivyo nimjue, nisimjue mada itapanda, umtaje usimtaje mada itashuka!.
  5. Nimeisha shindwa, ila simuombi yoyote kunisaidia kukitengua kitendawili hiki, kwa sababu mada yangu, haitegemei kitendawili hiki!, kiwepo kisiwepo, mada itashuka!.
  6. Namalizia kukuhakikishia kuwa sikuhakikishii kitu chochote ili nipandishe mada humu, nikimaanisha kupandisha kwangu mada humu, hakukutegemei wewe Mkuu Maalim Mohamed Said, hivyo nikuhakikishie as if nakubembeleza uje uchangie, nikianzisha uko free uje, kama ili uje ndio umenitaka nikuhakikishie kitu, sikuhakikishii chochote!, nikianzisha unaweza kuja, ukiona vipi unaweza usije!.
  7. Hata hivyo ukweli unabaki kuwa mimi Pasco wa jf, nakukubali sana wewe Maalim Maalim Said kuwa una "powers from within", hivyo ukichangia mada zozote, una mvuto mkubwa na kuipaisha na kuifanya ionekana ya maana hata kama haina maana!, japo saa nyingine, mvuto huo, huwavuta wengi na kupitiliza hadi kuinekana kama ni bucha ya utumbo, licha ya wanunuzi kitoweo cha utumbo kuisongea bucha, pia huzongwa na mainzi kibao!.
  8. Nkianzisha muendelezo wa mada hizi, nitafurahi ukiwepo, ila sio kwa kukubembeleza ili uwepo as if nakutegemea wewe, ukiwepo ni bora zaidi ila hata usipokuwepo mada itapanda tuu kwa sababu wewe sio tegemeo la kupanda kwa mada humu, usipokuja nitaikosa michango muhimu, ila pia yale mazonge ya ile mi inzi yatapungua!.
Karibu!.
Pasco.

Paskali ww unasali madhebu gani. Usikasirike kukuliza hili swali hili, Unajua kuna madhehebu nyingi za kikiristo nyingine zinahimiza wanaume muowane wenyewe kwa wenye.
 
Usikimbie, kamwite huyo aje ajibu hapa mmechangia kiasi gani? hizi hadithi ohh koti likikubana so what, mbona chupi ikimbana hasemi?

Mimi tena nikimbie? unataka kuanza kuleta utani ambao sinao. Unasema nikamwite wakati nimeshamleta na umemsoma? mbona unataka kufanya maajabu saa hizi? Au ullichokisoma hujakielewa? soma tena, kwa "utuvu" japo "kiduchu":

Zanzibar imetoa asilimia 11.02 ya hisa iloanzisha Benki Kuu (BOT) lakini haikupata gawio lolote la faida (dividend) kwa miaka 28 tokea 1966 – 1994. Na baada ya hapo imekuwa ikipewa gawio la asilimia 4.5 badala ya asilimia 11.02 ya kima cha hisa katika mtaji uloanzisha BOT. - Ismail Jussa
 
Usimsikilize Jusaa, hebu kamwite hap[a aje atujuze ni kiasi gani Zenji imechangia uendeshaji wa serikali ya muungano?


Mkuu YombaYomba,

Jussa hana wasaa/fursa ya ati kukufuata weye Yombayomba humu-JF,kama hivyo uamrishavyo/utakavyo!

Hayo majambo ya ati "madeni" au masula ya hiyo BOT...nafikiri pia ni very interesting subject!?

Wajua pana majambo mangi mno pasi kiasi kuyazungumza japo kiduchu...japo baadhi nakhis yalishawahi jadiliwa humu-JF kwa kina kitambo!?...nasi si vibaya kufanza ile re-visit japo kiduchu!?

Kabla ya kuanza kupingana kiungwana na kwa hoja ziloshamiri kuhusu hayo ulomuuliza Mkuu Zomba...kwanini tusianzie basi hata kwenye ile legality ya huo ati uitwao ndo "Muungano"!?

Maana pana mangi mno kwenye yayo...tukua mfano kiduchu hapa tini;


  • Ratification of Articles of Union
  • Matters within Articles of Union
  • Legality of the additional Matters
  • Vienna Convention Treaty
  • Merits and/or Dismerits of Union

Sasa tumsikilize japo kiduchu na huyu Muheshimiwa hapa asemaje kwayo!?...

Hon. Abubakar Ibn Bakary,the former Attorney General of Zanzibar;

" I myself have been the Zanzibar Attorney General and Minister responsible for Justice between 1984 to 1989. At that time I managed to peruse all the Statute books of Zanzibar from 1964-1979 when the Revolutionary Council was acting as a Legislative Assembly Cum the Cabinet.
No ratification Law or any Law to that effect is there! I was not myopic,but even if I was,the first Attorney General after the Revolution-Hon. W. Dourado had also testified the same that no Law ratifying the Articles of Union exists on the Statute Books of Zanzibar!"


Msikize nae Prof. Peter japo kiduchu;

"On Mainland(Tanga-Nyikwa)...there was an open struggle between the people on one hand and the "new Rulers" on the other. While the people attempted to consolidate their Independence from Colonial rule,this was frustrated quite early by their very Leaders. Guarantees of Fundamentals rights and freedom in a form of a Bill of Rights were rejected by the incoming Government right at Independence"!?

Nashukuru kwa kunisikiza,na pia niwia radhi kama pana lolote labda nimenena kwa ukosefu wa Ilm ammahukupendezwa nalondanimwe uchechefu wangu!

Ahsanta sana.
 
Usikimbie, kamwite huyo aje ajibu hapa mmechangia kiasi gani? hizi hadithi ohh koti likikubana so what, mbona chupi ikimbana hasemi?


Mbona waanza kuleta mas'ala ya lebasi za ndani jamani hapa jamvini!?...Yombayomba kipi nawe kimekusibu ghafula hii!?

Au ndo weye Pasikali umengia tena kwa mojawapo ya zile multiple ID's zako,jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.
 
mbona waanza kuleta mas'ala ya lebasi za ndani jamani hapa jamvini!?...yombayomba kipi nawe kimekusibu ghafula hii!?

Au ndo weye pasikali umengia tena kwa mojawapo ya zile multiple id's zako,jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.

wagunya walahi mmelaniwa sijui kwa nini ??????????????????????
 
Sie tuisha sikiza na kuamini alichokisema Jussa, sasa ukerekaye na kukosa pumzi ua raha ni weye labuda na wenzio kama Pasiko na uwayuao weye,

Kinakushindani kueka tibyani kama unazo weye?


Maulana Wabara,

Ahahaaaa!! Dah!...Yaani yanilazim nikayae japo kiduchu Yakhe!...maana ushianza nivunja hivi vijibavu vyangu dhaifu kwa vicheko!? Dah!ahahaaaa!!

Wallahi,huyo huyo Yombayomba Bin Pasiko nakhis bora nikwachie weye Maulana 'angu...maana mie kwa hivi sasa Wallahi mie ni taabani kwa kicheko!? Dah!ahahaaa!!

Yaani humu-JF ni raha iso buraha...yaani siku hizi sina hata haja tena ya kwenda tazama ati Comedy kwa malipo!? Thubutu thuma thubut! ahahaaa!!

Kwaheri Ulamaa Maalim 'angu Ibn Wabara! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
wagunya walahi mmelaniwa sijui kwa nini ??????????????????????

Laana ya mwando ni hiyo ulo nayo weye na mkoswa na nyuma mbele mwendio Pasikalia, samahani its typ..... error ni Pasco,

Bahati nzure ilikomea hapo kwenu, hao Wagunya umewasingizia na kuwazengea,

Nakutahadharisha watakundrama mpaka utakajakosa tanabahi wapi kutokea....!

Hizo IDs ya nini kubabaika kwazo kwanini kusibaki na moya?

Yuli Fidhuli bin Barzuli mwendio Pasiko, afahamu uzuri fika kazi za hawa Ziyana za Madaaris,

Au nawe upumbavuo umeanza kukuvia kama hayawani mwenzio?
 
wagunya walahi mmelaniwa sijui kwa nini ??????????????????????


Weye Hamali Yomba mwana kuyomba!...yawaje inkuwani kutukunia yalo Kabila... kwani weye U-Mhaya au nawe U-Msu-----!?...kama huyo Mlaanifu Pasiko!? Teeh! Teeh! Teeh!

Awali nalikupa staha kiduchu...lakini hamali Wallahi habebeki wala kutukulika,asilan! Dah! Teeh! Teeeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Maulana Wabara,

Ahahaaaa!! Dah!...Yaani yanilazim nikayae japo kiduchu Yakhe!...maana ushianza nivunja hivi vijibavu vyangu dhaifu kwa vicheko!? Dah!ahahaaaa!!

Wallahi,huyo huyo Yombayomba Bin Pasiko nakhis bora nikwachie weye Maulana 'angu...maana mie kwa hivi sasa Wallahi mie ni taabani kwa kicheko!? Dah!ahahaaa!!

Yaani humu-JF ni raha iso buraha...yaani siku hizi sina hata haja tena ya kwenda tazama ati Comedy kwa malipo!? Thubutu thuma thubut! ahahaaa!!

Kwaheri Ulamaa Maalim 'angu Ibn Wabara! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.

Naam Baabul Hikma ...Gombesugu, nakufuatiza zako funzo dhidi ya Wadhab dhabiina hao,

Kwakweli sindano uwapazo, yao makalio yesha wahema kwa kuketi tini uwezo hawana,

Hao waja wakoswa kheri imewajaa laana,

Wapi jeuri ya kuketi na kusfteed kwa waungwana watapata?
 
Samahani kidogo mkuu Ahmed Deedat,

Natoka nje ya mada kidogo Mkuu.,hivi unajua sura ya kwenye avatar yako ni mbaya sana??yan una sura mbaya hadi unatia hasira kwa kweli,umetoka shimoni kuzimu nini??

:A S-baby:

Mbona mimi najiona handsome kama unabisha muulize kondoo MaxShimba
 
Last edited by a moderator:
Hebu na wewe tutajie Tanganyika imechangaia kiasi gani juu ya uendeshaji wa serekali ya muungano

Kamati ya fedha ya pamoja iliundwa 2006 ili ifunguliwe na account ya pamoja ambayo haijwahi kufunguliwa since 1964; basi tokea 2006 mpka leo hii hiyo kamati haijafanya kikao hata kimoja. Na tatizo ni upande wa Tanganyika hawajawa tayari.
 
Pasco sina shaka umemsikia Warioba akitoa mapendekezo yake leo kuhusu Muungano, pia sina shaka katika kuhitimisha kupokea rasimu umemsikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Muadham Daktur Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.

Warioba amesema kinaga ubaga kuwa katika jambo lililochukua muda zaidi katika kutayarisha rasimu ni Muungano na matatizo yake.

Kikwete amesema kinaga ubaga moja katika mambo yaliyopelekea yeye kuamua iandikwe katiba mpya ni kero za Muungano zisizokwisha.

Warioba kapendekeza katika rasimu ya kwanza Serikali Tatu na katika hii rasimu ya Pili ni hivyo hivyo, Serikali Tatu na akatoa sababu zake, japo "kiduchu" tu lakini zimeeleweka.

Wazanzibari walio wengi wengi wametaka Muungano wa mkataba na wamekiri uliopo sasa una kero.

Watanganyika walio wengi wametaka Muungano wa Serikali tatu na wamekiri uliopo sasa una kero.

Ukichukulia hayo yote, ya Warioba, ya Kikwete, ya Wazanzibari, ya Watanganyika utaona ya kuwa hatuna Muungano "mtukufu". Kila mmoja kwa namna moja au nyingine amekiri Muungano una matatizo.

Nashangaa wewe pekee leo hii ung'ang'anie kuwa huu tulionao ni Muungano "mtukufu".

Kero zote zilizotajwa na Watanganyika na Wazanzibari na Warioba na japo "kiduchu" na Kikwete na sisi hapa kwenye nyuzi hii, bado tu huamini kuwa hatuna Muungano "mtukufu"?

Huo "utukufu" wa huu Muungano ni upi?

Ukishangaa ya Mussa utayaona ya Pasco. Yako ni kuliko ya Firaun.
 
Samahani kidogo mkuu Ahmed Deedat,

Natoka nje ya mada kidogo Mkuu.,hivi unajua sura ya kwenye avatar yako ni mbaya sana??yan una sura mbaya hadi unatia hasira kwa kweli,umetoka shimoni kuzimu nini??

:A S-baby:

Mimi naona katuna tu kwa "bata" wa nchi za baridi na maguo ya baridi yamemtunisha zaidi. Kama sikosei hii picha ilipigwa wakati wa baridi nchi ya baridi.
 
Back
Top Bottom