Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Mohammad Ally
Kwa ihsani yako nakutaka radhi asije kuchifua ukamshshia zile ngumizo za heavy weight, maana twamtafuna tarteeb kama kisukari, sasa hatuhitajii kumpoteza wala kumtika mionzi ya haraka,

Pasco
Hapa sijajua uwepo wako kwa sasa umesimamia huja gani....!?

Naona umebaki mtu wa ku-like tu na kupitia post moya baada ya nyangine, hivi kweli ndo dasturiyo siku zooti humu jamvini?

Maulizo ya wale mabwana uishabahtika jibu hata moya au Wikipedia imekuwa Uninstalled ?

Teh teh teh teh......!
 
Je,nikuthibitishie kuwa hii ID ya Nikupateje pia ni ya kwako wewe Pasco??yan unaitumia kuandika na kujijibu mwenyewe ili ufanye spinning na ulaghai??

Uthibitsho jionee mwenyewe pale ulipoandika kupitia ID hiyo kisha mwishoni ukamalizia kwa neno lako la PASCO hapo mwishoni...

Mimi naona wewe kikaragosi kwa sasa utakuwa umeshapagawa moja kwa moja.

Tatizo lako elimu dunia hukuipa kipaimbele na nilivyoandika Cc Pasco, basi hadi leo hujui kwamba hiyo ni sawa na kum-kopi Pasco.

Ukitaka chek hii thread.

Panuka kidogo zaidi ya ulipo
 
Mkuu Pasco heshima yako mkuu.

Je unafahamu kwamba hii Note Verbale si lazima isainiwe?

Je ni nani aliandika Note Verbale ya kutoka serikali ya JMT kujulisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Halafu sasa ndio ungekuja na angalau ufafanuzi kwamba ni vipi kiti cha Zanzibar kilifutwa kule UN au ilifanyika ghiriba tu.

Halafu unasema umetembelea jengo la UN na hukupata majibu au angalau somo la kilichotokea wakati ule hadi leo tunaona hali inayoendelea.

Sasa je, unaweza kweli kufika hadi ofisi za UN New York na usipate majibu ya hoja ulioleta?
 
Elimu Dunia sikuipa kipaombele na blah blah zingine potelea mbali,

Mimi kama muislam nimeamrishwa kusoma elimu zote pasi na kuchagua kuwa hii ni elimu dunia au hii ni elimu akhera,kusoma kwangu kwa mujibu wa dini yangu ni ibada,nikichagua elimu na kubagua nyingine nitakuwa nimekiuka ibada niliyoagizwa,

Nakuonea huruma sana,kwan pale hukuandika CC pasco,,hata hivyo kwa jins ulivyo chizi hata unavyoandika unafahamika,

Safari hii tumekata ngebe zako na salamu wafikishie bwana zako wanaokuweka mjini hapa kikaragosi wewe
 
Mkuu Pasco heshima yako mkuu.

Je unafahamu kwamba hii Note Verbale si lazima isainiwe?

Je ni nani aliandika Note Verbale ya kutoka serikali ya JMT kujulisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Halafu sasa ndio ungekuja na angalau ufafanuzi kwamba ni vipi kiti cha Zanzibar kilifutwa kule UN au ilifanyika ghiriba tu.

Halafu unasema umetembelea jengo la UN na hukupata majibu au angalau somo la kilichotokea wakati ule hadi leo tunaona hali inayoendelea.

Sasa je, unaweza kweli kufika hadi ofisi za UN New York na usipate majibu ya hoja ulioleta?

Huyo Ni FIRAUNI TUH mchovu wa maisha..

Njaa zimemuandama hadi kwenye kope anataka kujitutumua hapa,attention seeker ni JITU LA KULIPUUZA TUH
 
Mkuu Mbute, ikitokea tumefanikiwa kuanzisha shirikisho la Afrika Mashariki, na sisi nchi zote tano tukaamua liwe Kenya, then serikali ya Kenya tuu inamuandikia UN SG, NV kumuarifu kuwa kuanzia sasa zile nchi hazipo tena na viti vyake vyote nitakalia mimi itoshe?. Muungano wowote wa nchi ni international instrument hivyo huo mkataba mlioingia kuziunganisha nchi zenu ulipaswa kutuma kule UN as an attachment!.
Kiti kufutwa kwa NV tuu?!.
Bado nalifanyia kazi!.
Pasco.

Kafiri tuh,laanakum fii nnari jahanamu khaalid na fihaa abaadan""
 
Mkuu Pasco heshima yako mkuu.

Je unafahamu kwamba hii Note Verbale si lazima isainiwe?

Je ni nani aliandika Note Verbale ya kutoka serikali ya JMT kujulisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Halafu sasa ndio ungekuja na angalau ufafanuzi kwamba ni vipi kiti cha Zanzibar kilifutwa kule UN au ilifanyika ghiriba tu.

Halafu unasema umetembelea jengo la UN na hukupata majibu au angalau somo la kilichotokea wakati ule hadi leo tunaona hali inayoendelea.

Sasa je, unaweza kweli kufika hadi ofisi za UN New York na usipate majibu ya hoja ulioleta?
Mkuu Richard,
Note Verbale ilitoka kwa Balozi wa Tanganyika kwenye Umoja wa Mataifa, Chief Arasto Mang'enya na kuitambulisha United Republic of Tanganyika and Zanzibar, wakati huo jina la Tanzania halijaanza. Mwezi June aliteuliwa rasmi kuwa balozi wa kudumu wa Jamuhuri ya Tanganyika na Zanzibar, na mwezi September ndipo akawasilisha rasmi hati zake za utambulisho. Jina la Tanzania lilikuja kupelekwa Mwezi Septemba.

Game ilichezwa hivi
MERGER OF MEMBER STATES
29. During the period under review the issue of the merger of Member States arose in the United Nations in connexion with the formation of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, later called the United Republic of Tanzania. Tanganyika and Zanzibar, which had been admitted which in the United Nations since 14 December 1961 and 16 December 1963 respectively, informed the Secretary-General by a note verbale dated 6 May 1964 of the following:

" . . . the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar were united as one Sovereign State on 26 April 1964, under the name of the United Republic of Tanganyika and Zanzi- bar and under the presidency of Mwalimu Julius K. Nyerere. A copy of the said Articles of Union is enclosed herewith.
"The Secretary-General is asked to note that the United Republic of Tanganyika and Zanzibar declares that it is now a single Member of the United Nations bound by the provisions of the Charter, and that all international treaties and agreements in force between the Republic of Tanganyika or the People's Republic of Zanzibar and other States or international organizations will, to the extent that their implementation is con- sistent with the constitutional position established by the Articles of Union, remain in force within the regional limits prescribed on their conclusion and in accordance with the principles of interna- tional law."
On 14 M a y , the Secretary-General, at the request of the Government of the United Republic of Tan- ganyika and Zanzibar, communicated the note to all States Members of the United Nations, to the principal organs of the United Nations and to the subsiding organs of the United Nations to which Tanganyika or Zanzibar had been appointed or admitted, and to the specialized agencies and to the International Atomic Energy Agency, by a note verbale which included the following statement:
"The Secretary-General is taking action, within the limits of his administrative responsibilities, to give effect to the declaration in the attached note that the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, is now a single Member of the United Na- tions bound by the provisions of the Charter. This action is undertaken without prejudice to and pending such action as other organs of the United Nations may take on the basis of the notification of the establishment of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar."
Source ni UN.
NB. Kwa vile nilipokwenda UN, nilikwenda kwa mengine, hili nikafanya kuliulizia tuu, kuna uwezekano kuwa ni kweli ile NV ilikwenda na Mkataba wa muungano kama ilivyosema!, ila pia inawezekana kabisa kilichokwenda ni hiyo NV peke yake bila mkataba wowote, hivyo Tanzania japo ni nchi halali, imekalia kiti chake cha UN mpaka kesho with a lie!.

Kwa vile mwakani nitakuwa na safari ya huko, this time nitafanya juhudi za makusudi kupita tena Ubalozi wetu pale UN na kutembelea tena Maktaba ya UN kuziona hizo "Hati za Muungano!"

Mjadala umehitimishwa rasmi na facts zote.

Asanteni sana!.

Nikupateje kweli umevurugwa sana,

Mjadala unahitimishwa vipi ili hali una viporo vingi na case nyingi za kujibu zinakusubiri??

Nadhan safari hii adabu na heshima uliyoshikishwa hukutarajia kuipata,salam ziwafikie hao watwana wanaokulisha na kukulaza wewe na familia yako,kama unayo basi.
 
Mimi ni Mswahili wa bara, hivyo nayaandika majina kwa jinsi ninavyoyatamka!. Kahawarizimu na Ahamedi Diidati!.
Kama hii nayo ni name calling, ama unaweza niripoti pia, unaweza kukisia ban ya siku ngapi itanitosha, naweza kujipa mwenyewe, leo ni week end, ma mode wote wako mapumziko mpaka kesho Jumatatu saa 3 asubuhi.
Hata mimi nimeomba thread hii ifungwe ili niifungue ile nyingine!.
Mfulilizo wa thread hizi ziko 5, zinatakiwa kutoka kabla ya kilele cha Sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.
Mada zenyewe ni hizi
  1. Part I-Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Maswali Bila Majibu Part I
  2. Part II-Jee nini Chanzo Halisi cha Mapinduzi ya Zanzibar na Nani Haswa Waipanga/Waliotekeleza
  3. Part III -Nani ni Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar!.
  4. Part IV -Kwanini Abedi Amani Karume, Aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar na hakushiriki?
  5. Part V- Baadhi Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!-"Mapinduzi Daima!"

Nasubiri tumalize hili tusonge mbele!.

Pasco.

Pasco,
Dk. Harith Ghassany tukizungumza kwa simu yeye akiwa Maryland, Washington
mimi nikiwa Ngamiani Tanga nilimpa fikra zangu za siku za mwisho za Kassim
Hanga
kabla hajauliwa.

Ghafla akanambia anataka kunirekodi ili maneno yangu ayatumie katika kitabu.
Alifanya hivyo.

Pasco ikiwa umekisoma kitabu utayakumbuka haya meneno yangu hapo chini:

''Kuwa Hanga ndiye aliyekuwa kinara wa Mapinduzi ya Zanzibar hili si jambo
lenye utata tena. Ikiwa hivyo ndivyo Hanga hatoweza kuutua mzigo wa roho
zilizopotea katika mapinduzi hayo.

Ikiwa Hanga atalaumiwa kwa vifo vya maelfu ya Wazanzibari nani alaumiwe
kwa umauti uliomfika Hanga tena kwa kuuliwa kishenzi kwani hapana neno
zaidi ya hilo linaloweza kutosheleza kuelezea jinsi Hanga alivyouliwa.

Kichekesho kikubwa ni kuwa wale waliopoteza roho kwa hiyo kutangulia mbele
ya haki, yao yalikuwa yamekwisha. Lakini kwa wale wajane na mayatima
waliobakia nyuma wakihangaika, kifo cha Hanga na wenzake katika wale
waliofanikisha mapinduzi kuuliwa kwao kulikuwa muujuza wa aina yake,
uchawi usioelezeka nani fundi wake.

Ilikuwa vigumu kueleza. Ingeeleweka vyema endapo kisasi cha kuitoa roho
ya Hanga kingetimizwa kutoka katika mikono ya maadui zake waliopinduliwa.
Haikuwa hivyo.

Wale wajane na mayatima walililipiziwa kisasi na watu waliokuwa maadui
wakubwa wa waume na baba zao waliopinduliwa. Vipi Hanga kiongozi mkuu
wa mapinduzi aje kuwa adui wa mapinduzi yenyewe kiasi cha kuwa hukumu
ya kumtosheleza haikuwa kifo tu bali kifo cha kishenzi.

Fikra ya Hanga ilikuwajealipokuwa peke yake ndani ya selo Ukonga Prison…
usiku ukimpita bila ya hata lepe la usingizi akiwaza yanayomkabili. Nini kilikuwa
kikipitika katika ubongo wake wakati wauaji wake walipomtoa katika selo yake
na yeye akawakabili ilhali aikijua kuwa walikuwa wamekuja kuitoa roho yake.

Fikra yake ilikwenda wapi? Ilikwenda kwa Sultan Jamshid bin Abdullah
aliyempindua na kwa masultani wengi waliopita ambao wameiaga dunia mikono
yao ikiwa haina damu au kwa Abeid Amani Karume aliyeingia madarakani
kwa mapanga ya Wamakonde kutoka Tanganyika, wakata mkonge kutoka
Tanganyikawakifanya kazi mashamba ya Sakura na Kipumbwi? Fikra ya
Hanga ilielekea wapi? Kwa Nyerere aliyemsaliti?

Hakika ni wazi hakutegemea mapinduzi aliyoyasisi yangemgeukia na kuwa
sababuya yeye kutolewa roho kwa kuuliwa kishenzi. Jambo la kusikitisha ni
kuwa hadi pale alipokamatwa na kuwekwa jela Ukonga na kufikishwa mbele ya
mkutano wa hadhara na kuadhiriwa na Julius Nyerere tayari alikuwa
keshapoteza kila kitu achilia mbali dira ya mapinduzi aliyokusudia ingeongoza
Zanzibar.

Hanga
hakuwa kamwe na uwezo wa kumfanya Karume lolote kwani Karume
tayari alikuwa chini ya mbawa za Nyerere ngome ambayo Hanga asingeweza
kuitikisa achalia mbali kuibomoa. Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
ilikuwa hirizi tosha ya kumkinga Karume.

Katika mkasa wa kuuliwa kwa Hanga ndipo msemaji mmoja akasema, "Maiti
toka makaburini mwao walionyesha ujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao
kwani laiti kifo cha Hanga kingesababishwa na wale waliopinduliwa kisasi
chake kingekuwa cha kutisha. Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe
na wale wale aliowaweka madarakani watu ambao hapakuwepo na sababu
ya wao kumuona adui."

Halikudondoka chozikwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong'ono wa kuuliwa
kwake alikuwa kimyakama vile ile taarifa ile ya kifo haimuhusu.''

Pasco,
Hii ni moja katika visa vingi vya kusikitisha katika historia ya mapinduzi ya
Zanzibar.

Maujai ya kishenzi, mateso na udhalilishaji ambao sina ujasiri wa kueleza hapa.

Sina ujasiri kwa kuwa hawa waliouliwa ndugu, jamaa na rafiki zao bado wa
hai.

Wasingependwa kukumbushwa machungu haya yaliyo wafika ndugu zao.

Nakuuliza Bwana Pasco.
Kuna utukufu gani katika historia kama hii?

Na Hanga hakuuliwa na Waarabu.

Ndiyo toka mwanzo nikakuonya kukuambia kuwa wewe huna makamo ya
kuzungumzia Mapinduzi ya Zanzibar.

Hii ndiyo sababu hadi leo hajapata mtu yoyote kutoka Zanzibar kuandika
chochote kuhusu kitabu Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.

Hata hao makomredi ambao wanahusishwa na mapinduzi hadi leo
hawajanyanyua kalamau.

Inawezekana kuwa Wazanzibari wengependa sana kusahau uovu
uliopita.

image001.jpg
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Kassim Hanga ni huyo aliyekaa chini ya jukwaa kavaa miwani. Aliyevaa sare ya polisi ni Hamza Aziz kushotoni
kwake ni Andrew Shija aliyevaa pama. Aliyekaa mbele ya Kassim Hanga ni Omari Londo. Nyerere ndiye huyo
katika ulingo akihutubia. Hapo ni Mnazi Moja. Baada ya mkutano huu Hanga alirejeshwa Zanzibar na huko
akauawa mwaka 1967 au 1968

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Katika mkasa wa kuuliwa kwa Hanga ndipo msemaji mmoja akasema, “Maiti
toka makaburini mwao walionyesha ujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao
kwani laiti kifo cha Hanga kingesababishwa na wale waliopinduliwa kisasi
chake kingekuwa cha kutisha. Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe
na wale wale aliowaweka madarakani watu ambao hapakuwepo na sababu
ya wao kumuona adui.”

Halikudondoka chozikwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong’ono wa kuuliwa

Mzee Mohame Said
Shukran zikujae mithili na ziada ya uyatakayo katika mema,

Tatizo najua kabisa kuwa lengo lako ni jema sana kumbainishia huyo Pasco, lakini masikitiko makubwa ni kuwa hapo hakuna kitu atakitia akilini badali yake aezakurejeza yale makashfa yake,

Naamini wanaokufuatilia wafaidi sana yako makusho yalo hakika,

Na ndo maana sie pia humtaka naye Pasco na wenzi wake walete maandiko kama hayo ili hizo bayana zako zijibike kwa zake bayana na si kukanusha kusiko na lengo la kufunza bali kuwatoa wasomaji mlengoni,

Mzee Mohamed Said,
Yale maulizo yako juu yake pamoja na wanajamvi wangine kakugeiyeni mrejezo?

Pasco
Mzee Muhamad Said bado aendelea kukusaidia kujua Historia iliyopotoshwa ndani ya Zanzibar na Tanganyika, japo wamuona ati aezakuwa saizi yako katika mjadala na mbaya zaidi wamletea kejeli,

Faida hiyo hapo juu alokuekea Mzee Muhamad Said, ulikiijua na umepata wahi kuisikia ama kuiona pahala?
 
Wabara
Naona Pasco hana moyo tena wa mnakasha. Anakimbia hawezi tena. Ushauri wangu ni bora kumfungulia mlango atoke akatibu madonda yake.
 
Pasco
Uliko ni wepi leo?
Sijaziona zile dhihaka zako za ku-LIKE kila comment.....!

Kijana kasome tena na muda bado wakuruhusu,

Mzee Mohamed Said katoa ushauri wa kukugeiya rukhsa ya kufunguliwa mlango ukatibie yako jurhi zako,

Lakini hapo ntampinga kidogo, mie nakutaka nikuone hapa jamvini japo utuage tu, maana naamini wale mabinti zetu wa Kizanzibar akiwemo Salma binti Said na wale wa Gerezani walikufunza ustaarabu japo wa matendo kwa maana ni wana wa waungwana na wazee wakarimu, kama kweli watakaenda pata matibabu, kwa maelezo hapo juu pitia hapa utuachie japo maagano.

Au ndo aingiaye bila hodi huondoka pasi na kuaga?c

Ha ha ha haaa.......
Kijana umegusa nyaya za Transformer bila guard yoyote,

Njoo ujibu hoja hapa.
 
Mkuu Richard,
Note Verbale ilitoka kwa Balozi wa Tanganyika kwenye Umoja wa Mataifa, Chief Arasto Mang'enya na kuitambulisha United Republic of Tanganyika and Zanzibar, wakati huo jina la Tanzania halijaanza. Mwezi June aliteuliwa rasmi kuwa balozi wa kudumu wa Jamuhuri ya Tanganyika na Zanzibar, na mwezi September ndipo akawasilisha rasmi hati zake za utambulisho. Jina la Tanzania lilikuja kupelekwa Mwezi Septemba.

Game ilichezwa hivi
MERGER OF MEMBER STATES
29. During the period under review the issue of the merger of Member States arose in the United Nations in connexion with the formation of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, later called the United Republic of Tanzania. Tanganyika and Zanzibar, which had been admitted which in the United Nations since 14 December 1961 and 16 December 1963 respectively, informed the Secretary-General by a note verbale dated 6 May 1964 of the following:

" . . . the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar were united as one Sovereign State on 26 April 1964, under the name of the United Republic of Tanganyika and Zanzi- bar and under the presidency of Mwalimu Julius K. Nyerere. A copy of the said Articles of Union is enclosed herewith.
"The Secretary-General is asked to note that the United Republic of Tanganyika and Zanzibar declares that it is now a single Member of the United Nations bound by the provisions of the Charter, and that all international treaties and agreements in force between the Republic of Tanganyika or the People's Republic of Zanzibar and other States or international organizations will, to the extent that their implementation is con- sistent with the constitutional position established by the Articles of Union, remain in force within the regional limits prescribed on their conclusion and in accordance with the principles of interna- tional law."
On 14 M a y , the Secretary-General, at the request of the Government of the United Republic of Tan- ganyika and Zanzibar, communicated the note to all States Members of the United Nations, to the principal organs of the United Nations and to the subsiding organs of the United Nations to which Tanganyika or Zanzibar had been appointed or admitted, and to the specialized agencies and to the International Atomic Energy Agency, by a note verbale which included the following statement:
"The Secretary-General is taking action, within the limits of his administrative responsibilities, to give effect to the declaration in the attached note that the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, is now a single Member of the United Na- tions bound by the provisions of the Charter. This action is undertaken without prejudice to and pending such action as other organs of the United Nations may take on the basis of the notification of the establishment of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar."
Source ni UN.
NB. Kwa vile nilipokwenda UN, nilikwenda kwa mengine, hili nikafanya kuliulizia tuu, kuna uwezekano kuwa ni kweli ile NV ilikwenda na Mkataba wa muungano kama ilivyosema!, ila pia inawezekana kabisa kilichokwenda ni hiyo NV peke yake bila mkataba wowote, hivyo Tanzania japo ni nchi halali, imekalia kiti chake cha UN mpaka kesho with a lie!.

Kwa vile mwakani nitakuwa na safari ya huko, this time nitafanya juhudi za makusudi kupita tena Ubalozi wetu pale UN na kutembelea tena Maktaba ya UN kuziona hizo "Hati za Muungano!"

Mjadala umehitimishwa rasmi na facts zote.

Asanteni sana!.

Pasco.
Hii ni forum watu bado wanajadili huu uzi mjadala bado unaendelea.
 
Mkuu Mbute, ikitokea tumefanikiwa kuanzisha shirikisho la Afrika Mashariki, na sisi nchi zote tano tukaamua liwe Kenya, then serikali ya Kenya tuu inamuandikia UN SG, NV kumuarifu kuwa kuanzia sasa zile nchi hazipo tena na viti vyake vyote nitakalia mimi itoshe?. Muungano wowote wa nchi ni international instrument hivyo huo mkataba mlioingia kuziunganisha nchi zenu ulipaswa kutuma kule UN as an attachment!.
Kiti kufutwa kwa NV tuu?!.
Bado nalifanyia kazi!.
Pasco.

Akili ndogo.
 
Mkuu Pasco heshima yako mkuu.

Je unafahamu kwamba hii Note Verbale si lazima isainiwe?

Je ni nani aliandika Note Verbale ya kutoka serikali ya JMT kujulisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Halafu sasa ndio ungekuja na angalau ufafanuzi kwamba ni vipi kiti cha Zanzibar kilifutwa kule UN au ilifanyika ghiriba tu.

Halafu unasema umetembelea jengo la UN na hukupata majibu au angalau somo la kilichotokea wakati ule hadi leo tunaona hali inayoendelea.

Sasa je, unaweza kweli kufika hadi ofisi za UN New York na usipate majibu ya hoja ulioleta?

Huyo alitembelea jengo la UN akaenda ofisi za ubalozi wa Tanzania UN.

Sasa fikiria kesi ya nyani uipeleke kwa ngedere.

Aseme UN alionana na nani zaidi ya maafisa ubalozi wa Tanzania? Katibu Mkuu wa UN? Naibu Katibu Mkuu UN? Baraza la Usalama wa UN? au alitembelea jengo la UN kama mtalii tu? (kuna program pale ya watalii wanaotembelea jengo la UN).

Jibu lake hapo utacheka.
 
Hivi wewe ni nani alikujaza ujinga mpaka ukadhani kuwa Olduvai Gorge ndio Ngorongoro Crater. Utachekwa.

Unasema nimekaririshwa wakati kwenye hiyo post uliyo i quote nimekuwekea link ya website ya kina Leakey wenyewe? www.leakey.com

Olduvai Gorge nisiijuwe mimi? na Ngorongoro Crater nisiijuwe mimi?Olduvai Gorge for your information ipo around 70 KM kutoka Singida mjini kuelekea Katesh. Ipo nyuma ya kijiji maarufu cha Masista wa Puma kiitwacho Gehandu, ilipo branch yao hapo Gehandu.Hebu soma kidogo upate faida siyo unatujia na habari za kijinga jinga kila wakati:

Leakey family discovers human ancestors

1959

The Olduvai Gorge in northern Tanzania has a geology that fossil-hunters love. A river cuts through several layers of strata with four distinct beds. Bed I, the oldest, is about 2 million years old.

From the late 1930s, Louis and Mary Leakey found stone tools in Olduvai and elsewhere, found several extinct vertebrates, including the 25-million-year-old Pronconsul primate, one of the first and few fossil ape skulls to be found. Their work at Olduvai Gorge had been interrupted by political uprisings in nearby Kenya, but late in the 1950s, they returned. The Leakeys were interested in prehistoric tools, but more and more wanted to find evidence of the people who made them. In 1959, they did.

Source: A Science Odyssey: People and Discoveries: Leakey family discovers human ancestors

Unajuwa na hilo fuvu walilipa jina gani? "Zinjanthropus boisei" hiyo "zinj" hai click chochote kichwani mwako?

Hakusomeshwa hilo pale chuoni kwao wanafundishwa kutisha watu na kungoa kucha za walipa kodi atajuwa wapi?
 
Pasco,
Dk. Harith Ghassany tukizungumza kwa simu yeye akiwa Maryland, Washington
mimi nikiwa Ngamiani Tanga nilimpa fikra zangu za siku za mwisho za Kassim
Hanga
kabla hajauliwa.

Ghafla akanambia anataka kunirekodi ili maneno yangu ayatumie katika kitabu.
Alifanya hivyo.

Pasco ikiwa umekisoma kitabu utayakumbuka haya meneno yangu hapo chini:

''Kuwa Hanga ndiye aliyekuwa kinara wa Mapinduzi ya Zanzibar hili si jambo
lenye utata tena. Ikiwa hivyo ndivyo Hanga hatoweza kuutua mzigo wa roho
zilizopotea katika mapinduzi hayo.

Ikiwa Hanga atalaumiwa kwa vifo vya maelfu ya Wazanzibari nani alaumiwe
kwa umauti uliomfika Hanga tena kwa kuuliwa kishenzi kwani hapana neno
zaidi ya hilo linaloweza kutosheleza kuelezea jinsi Hanga alivyouliwa.

Kichekesho kikubwa ni kuwa wale waliopoteza roho kwa hiyo kutangulia mbele
ya haki, yao yalikuwa yamekwisha. Lakini kwa wale wajane na mayatima
waliobakia nyuma wakihangaika, kifo cha Hanga na wenzake katika wale
waliofanikisha mapinduzi kuuliwa kwao kulikuwa muujuza wa aina yake,
uchawi usioelezeka nani fundi wake.

Ilikuwa vigumu kueleza. Ingeeleweka vyema endapo kisasi cha kuitoa roho
ya Hanga kingetimizwa kutoka katika mikono ya maadui zake waliopinduliwa.
Haikuwa hivyo.

Wale wajane na mayatima walililipiziwa kisasi na watu waliokuwa maadui
wakubwa wa waume na baba zao waliopinduliwa. Vipi Hanga kiongozi mkuu
wa mapinduzi aje kuwa adui wa mapinduzi yenyewe kiasi cha kuwa hukumu
ya kumtosheleza haikuwa kifo tu bali kifo cha kishenzi.

Fikra ya Hanga ilikuwajealipokuwa peke yake ndani ya selo Ukonga Prison…
usiku ukimpita bila ya hata lepe la usingizi akiwaza yanayomkabili. Nini kilikuwa
kikipitika katika ubongo wake wakati wauaji wake walipomtoa katika selo yake
na yeye akawakabili ilhali aikijua kuwa walikuwa wamekuja kuitoa roho yake.

Fikra yake ilikwenda wapi? Ilikwenda kwa Sultan Jamshid bin Abdullah
aliyempindua na kwa masultani wengi waliopita ambao wameiaga dunia mikono
yao ikiwa haina damu au kwa Abeid Amani Karume aliyeingia madarakani
kwa mapanga ya Wamakonde kutoka Tanganyika, wakata mkonge kutoka
Tanganyikawakifanya kazi mashamba ya Sakura na Kipumbwi? Fikra ya
Hanga ilielekea wapi? Kwa Nyerere aliyemsaliti?

Hakika ni wazi hakutegemea mapinduzi aliyoyasisi yangemgeukia na kuwa
sababuya yeye kutolewa roho kwa kuuliwa kishenzi. Jambo la kusikitisha ni
kuwa hadi pale alipokamatwa na kuwekwa jela Ukonga na kufikishwa mbele ya
mkutano wa hadhara na kuadhiriwa na Julius Nyerere tayari alikuwa
keshapoteza kila kitu achilia mbali dira ya mapinduzi aliyokusudia ingeongoza
Zanzibar.

Hanga
hakuwa kamwe na uwezo wa kumfanya Karume lolote kwani Karume
tayari alikuwa chini ya mbawa za Nyerere ngome ambayo Hanga asingeweza
kuitikisa achalia mbali kuibomoa. Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
ilikuwa hirizi tosha ya kumkinga Karume.

Katika mkasa wa kuuliwa kwa Hanga ndipo msemaji mmoja akasema, “Maiti
toka makaburini mwao walionyesha ujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao
kwani laiti kifo cha Hanga kingesababishwa na wale waliopinduliwa kisasi
chake kingekuwa cha kutisha. Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe
na wale wale aliowaweka madarakani watu ambao hapakuwepo na sababu
ya wao kumuona adui.”

Halikudondoka chozikwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong’ono wa kuuliwa
kwake alikuwa kimyakama vile ile taarifa ile ya kifo haimuhusu.''

Pasco,
Hii ni moja katika visa vingi vya kusikitisha katika historia ya mapinduzi ya
Zanzibar.

Maujai ya kishenzi, mateso na udhalilishaji ambao sina ujasiri wa kueleza hapa.

Sina ujasiri kwa kuwa hawa waliouliwa ndugu, jamaa na rafiki zao bado wa
hai.

Wasingependwa kukumbushwa machungu haya yaliyo wafika ndugu zao.

Nakuuliza Bwana Pasco.
Kuna utukufu gani katika historia kama hii?

Na Hanga hakuuliwa na Waarabu.

Ndiyo toka mwanzo nikakuonya kukuambia kuwa wewe huna makamo ya
kuzungumzia Mapinduzi ya Zanzibar.

Hii ndiyo sababu hadi leo hajapata mtu yoyote kutoka Zanzibar kuandika
chochote kuhusu kitabu Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.

Hata hao makomredi ambao wanahusishwa na mapinduzi hadi leo
hawajanyanyua kalamau.

Inawezekana kuwa Wazanzibari wengependa sana kusahau uovu
uliopita.

image001.jpg
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Kassim Hanga ni huyo aliyekaa chini ya jukwaa kavaa miwani. Aliyevaa sare ya polisi ni Hamza Aziz kushotoni
kwake ni Andrew Shija aliyevaa pama. Aliyekaa mbele ya Kassim Hanga ni Omari Londo. Nyerere ndiye huyo
katika ulingo akihutubia. Hapo ni Mnazi Moja. Baada ya mkutano huu Hanga alirejeshwa Zanzibar na huko
akauawa mwaka 1967 au 1968
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Pasco, nna uhakika yalioandikwa si kimo chako kwani uko too shallow. Hayo ni kwa wale wenye mioyo isiyokuwa na maradhi.

Maalim Mohamed Said ikiwa huyu Pasco hawakumbuki hata Makomred atakumbuka kweli hayo yaliopo kwenye kitabu? I doubt.
 
Last edited by a moderator:

Kwa style hii ni hatari sana,opponent lazima arushe taulo kati kati ya ulingo,

Hatari sana Maalim Mohamed Said,kwa pasco hii ni kapigwa chini ya kidevu,lazima akae...!!
 
Pasco alikuwa anarusha ngumi hewani hajui anapigana na nani.
 
Back
Top Bottom