The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme.
Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4, dagaa hazishikiki. Hii ndio lishe kamili ya 80+ ya watanzania ambao wao kipato chao ni chini ya shilingi elfu 2 kwa siku.
Ukiachia hilo, hata kama ataweza kumudu kununua unga na maharage ama dagaa, uhakika wa kupata maji ya kupikia ni shida, hivyo anaweza kua na unga na dagaa bado akafa kw akukosa maji ya kupikia, achilia mbali ya kuoga.
Juzi naona viongozi wanasema 2025 Tanzania itakua developed country kwa sababu ya ujio wa gesi, sasa kama sasa hata kuoga ni ishu, hiyo miujiza gani itafanyika kwa miaka 2 tuwe developed country?
Hapo sijazungumzia umeme.
CCM hata wakipewa miaka 200 hii nchi haitaenda popote.