Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

Kama huu mgao wa maji yani unashangaza,cha ajabu wametoa adi ratiba lini maji yatapatikana wapi ila kumbe ilikua geresha tupu toka wayakate hayajarudi adi leo!
Sijui wanatuchukuliaje hawa viongozi
Mungu anawaona!
 
Yaani nashangaa Hakuna cha ratiba wala Mavi yake. Tangu wayakate j4 africana mpk Leo hayajarudi
 
Yaani nashangaa Hakuna cha ratiba wala Mavi yake. Tangu wayakate j4 africana mpk Leo hayajarudi
Ni kote sio huko tu
Alafu wako kimya hata ukiwauliza majibu hawana!
Najiuliza walikua na ulazima gani wa kutoa hiyo ratiba!
 
Dunia inajengwa na watu wa kila aina
Lazima serikali iondoe dhana za kusema huyu sio raia, mara wewe mzaliwa wa wapi?
...
Mara babu yako nani
Huu ubaguzi serikali ikiufuta na kuajiri watu wa kila nchi na kuacha mambo ya ubaguzi basi na wananchi watabadili mentality zao

Ubaguzi ndio unaturudisha nyuma FACT
Angalia nchi nyingi zimeendelezwa na wakuja, hata mtu akibisha ila ukweli ni huu
Hakuna nchi baguzi ikawa na utajiri na kuendelea
Tuwape fursa hata wanaokuja kwetu sio kuwafanya kama waizi na wavamizi

And last tukubali kukosolewa hata jana Sunak kapewa makavu hospital ila angekuwa kwetu huyo mama saa hizi tungesikia kajiua
 
Sasa kwa nini sifa zote huwa anapewa Rais??
Nilipozaliwa 80 % ya miradi imefanyika kwa nguvu za wananchi ... Serikali ilikuja tuu kama geresha .. ufike Wakati tujitambue .. tutambue kuwa maendeleo yetu yanakeletwa na sis na siyo mwanasiasa

Shule.. zahanati .. Miundombinu ya maji nilishuhudia ikijengwa KWA nguvu za wananchi...
 
Ni kweli kabisa.

Lakini tuna tatizo. Tatizo letu ni kuwa kwa sasa, hatuna mbadala.

Sioni mbadala.
 
Back
Top Bottom