Dunia inajengwa na watu wa kila aina
Lazima serikali iondoe dhana za kusema huyu sio raia, mara wewe mzaliwa wa wapi?
...
Mara babu yako nani
Huu ubaguzi serikali ikiufuta na kuajiri watu wa kila nchi na kuacha mambo ya ubaguzi basi na wananchi watabadili mentality zao
Ubaguzi ndio unaturudisha nyuma FACT
Angalia nchi nyingi zimeendelezwa na wakuja, hata mtu akibisha ila ukweli ni huu
Hakuna nchi baguzi ikawa na utajiri na kuendelea
Tuwape fursa hata wanaokuja kwetu sio kuwafanya kama waizi na wavamizi
And last tukubali kukosolewa hata jana Sunak kapewa makavu hospital ila angekuwa kwetu huyo mama saa hizi tungesikia kajiua