Miaka 60 ya JWTZ Tanzania iwekeze kwenye kinu cha nyuklia

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka.

Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi.

Zama za kutegemea URUSI NA MAREKANI zinaelekea ukingoni.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Halafu Kinu cha Nuclear ni kwa ajili ya Nishati ya Umeme JWTZ inahusika na nini?!😁😆😂🤣

Na wewe ndie "think tank" wa CCM 🤣🤣

Ndio nyinyi mliomshauri Magu apime Papai na Mbuzi kama wana Covid19😝🤗
 
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka.

Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi.

Zama za kutegemea URUSI NA MAREKANI zinaelekea ukingoni.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Unajua operating cost za kinu cha nuclear, safety standards, technical know-how, gharama za ujenzi hata wa kinu kidogo?

Unajua si kila kinu kinaweza zalisha weapons grade Uranium? Chenye uwezo kina gharama kubwa zaidi na teknolojia ya ziada ya kurutubisha?

Na unajua kwamba nchi inayounda silaha za nuclear inapigwa vikwazo? Maana Tanzania ni signatory wa Non-Proliferation Treaty (NPT).

Na unajua kuwa si kazi ya JWTZ kufua umeme? Ni kazi ya Wizara ya Nishati.

Nyinyi ndio mlimshauri yule jamaa akope trilioni 11+ kujenga SGR ya kubebea wasafiri badala ya kuimarisha reli ya kubeba mizigo.
 
Mstari wa mwisho u bold
 
Back
Top Bottom