Kwa ajili ya kumuua nani!Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka...
Tena sio mabasi ya kijeshi. Ni ya kiraia yamepakwa rangiMiaka 60 ya jeshi ndo kwanza wananunuliwa mabasi.
AiseTena sio mabasi ya kijeshi. Ni ya kiraia yamepakwa rangi
Hii ndio kitu inatakiwa iwe kipaumbele....wadau wanaweza kuhack system yako mkakosa mawasiliano mkaanza kupigana wenyeweWawekeze pia kwenye IT,AI,Machine learning,data science etc
Unajua operating cost za kinu cha nuclear, safety standards, technical know-how, gharama za ujenzi hata wa kinu kidogo?Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka.
Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi.
Zama za kutegemea URUSI NA MAREKANI zinaelekea ukingoni.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Jeshi gani unaliongelea? Hili hii linalowekeza kwenye NGUVU badala ya teknolojia?Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi.
Mabasi? Sio kutengeneza drones?Miaka 60 ya jeshi ndo kwanza wananunuliwa mabasi.
Acha tuna safari ndefu sanaMiaka 60 ya jeshi ndo kwanza wananunuliwa mabasi.
Mstari wa mwisho u boldUnajua operating cost za kinu cha nuclear, safety standards, technical know-how, gharama za ujenzi hata wa kinu kidogo?
Unajua si kila kinu kinaweza zalisha weapons grade Uranium? Chenye uwezo kina gharama kubwa zaidi na teknolojia ya ziada ya kurutubisha?
Na unajua kwamba nchi inayounda silaha za nuclear inapigwa vikwazo? Maana Tanzania ni signatory wa Non-Proliferation Treaty (NPT).
Na unajua kuwa si kazi ya JWTZ kufua umeme? Ni kazi ya Wizara ya Nishati.
Nyinyi ndio mlimshauri yule jamaa akope trilioni 11+ kujenga SGR ya kubebea wasafiri badala ya kuimarisha reli ya kubeba mizigo.