Wawekeze kwenye kufundisha vijana technologia, mambo ya coding na ubingwa kwenye masuala ya computer, mawsiliano na waunganishe hizo nguvu kwa kuwafundisha Enterpreneurship skills - vijana wawe conc...then wapige kazi kwa mikataba - miaka 5 - 10 wakitoka hapo wakajiajiri ulimwenguni.
HIvi JKT vijana wanajifunza nini kule??