Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**RIP Prof Luhanga.
Mpaka naondoka has two lilikuwa limefanya masuko kutoka juu mpaka chini. Nadhani limefanyiwa matengenezo
 
Kimeleta viongozi wa hovyo. Ndio maana nchi haisongi mbele. Ni akili za kudesa na za kutafuta gpa kubwa, zimezaa tozo na makodi makubwa.
 
Back
Top Bottom