Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

Ugunduzi wa "vimbweta" maarufu kama "vimbwete" ulifanyika hapo, sehemu zilizojengwa kwa zege kwa ajili ya wanachuo kujisomea au kupumzika.
Screenshot_20210919-114959.jpg
 
Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**RIP Prof Luhanga.
Yaani kusema kweli mimi sijasoma UDSM ila hiki chuo ukitaka kujua ni kituko kutana na mtu kasoma bachelor of computer mwambie akuoneshe hard disc auq mwambie akufafanulie computer practically au kasoma mechanical engineering muulize chochete practically ndo utashangaa maajabu kuwa pale watu wanaenda kukua ili waje wachukue vyeo na kusaini mikataba na document bila kusoma ndo maana hata TANESCO mpaka leo hakuna la maana pale ujinga tu! Product za vyuo vyetu ikiwemo UDSM.
 
Yaani kusema kweli mimi sijasoma UDSM ila hiki chuo ukitaka kujua ni kituko kutana na mtu kasoma bachelor of computer mwambie akuoneshe hard disc a mwambie akufafanulie computer practically au kasoma mechanical engineering muulize chochete practically ndo utashangaa maajabu kuwa pale watu wanaenda kukua ili waje wachukue vyeo na kusaini mikataba na document bila kusoma ndo maana hata TANESCO mpaka leo hakuna la maana pale ujinga tu! Product za vyuo vyetu ikiwemo UDSM.
Chuki Max
 
Chuo kimekua mpaka kikazaa watoto SUA, MUHAS, ARDHI na chuo cha maji.

Changamoto: chuo hakiko vizuri kwenye tafiti.
Ninakumbuka shimo kule bondeni kwa wazee wa kurusha tray. Vipi mzee Punch bado yupo miaka 60
 
Mafanikio kimetoa maraisi na viongozi wa juu wa nyingi za Afrika kuliko chuo kikuu chochote duniani
 
Changamoto Ni Uongozi Umekosa Ubunifu. Miaka 60 bado wanatukia chaki na vyoo vichafu
 
Ninakumbuka shimo kule bondeni kwa wazee wa kurusha tray. Vipi mzee Punch bado yupo miaka 60
Unamaanisha kule bondeni Kona ya kwenda Hall seven na Yombo 5?

Ama unazungumzia bondeni kwenye viwanja vya michezo
 
Chuo hiki kimeshiriki kututengenezea wanasiasa wasio waaminifu, waoga na watu wa kujipendekeza pendekeza kwa watawala, as results nchi hii ndipo walipoifikisha leo.
Likiisha la maji, linarudi na mgawo wa umeme - danadana mingi sana huku nchi ikizidi kudumaa.
 
Back
Top Bottom