Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Nashukuru nilipata mke hapo. DJ niletee UDSM BSc. Civil Engineering class of 1997Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**RIP Prof Luhanga.
MmhUdsm mafanikio yao ni kutengeneza Sanamu la chuma ndani ya miaka 60
Ndio mkuu tena lilioneshwa siku ya maonesho
Maonyesho gani 7-7 au 8-8?Ndio mkuu tena lilioneshwa siku ya maonesho
Bila UDSM Leo hii ningekua naendesha bodaboda!Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**RIP Prof Luhanga.
Umenikumbusha UD miaka hiyo 1995/96 kule MSAUD daahNashukuru nilipata mke hapo. DJ niletee UDSM BSc. Civil Engineering class of 1997
Polemafanikio niliyopata udsm niwatia exile washikaji kila nikileta makahaba toka buguruni.
kagpa ka 2.3 sijui nilipataje ?
[emoji16] Sas hay mafanikio y udsm au yakomafanikio niliyopata udsm niwatia exile washikaji kila nikileta makahaba toka buguruni.
kagpa ka 2.3 sijui nilipataje ?
Mama anakata wingu Sasa. Kaimu kazini[emoji16] Sas hay mafanikio y udsm au yako
Mpaka naondoka has two lilikuwa limefanya masuko kutoka juu mpaka chini. Nadhani limefanyiwa matengenezoChuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**RIP Prof Luhanga.
Ndo mipango yenu Hiyo!? Fungua thread ingine tulijadl hili huk sio mahala pakeMama anakata wingu Sasa. Kaimu kazini
Nilikua Kama wewe ila Nina 3.7mafanikio niliyopata udsm niwatia exile washikaji kila nikileta makahaba toka buguruni.
kagpa ka 2.3 sijui nilipataje ?
Ni kweli, hiki limekua tatizo kubwa sana hall 5 na hall 2 , kule juu maji yalikuwa hayapandi kabisa, watu wanatumia magazeti. TerribleVyooni hamna maji ya ku-flush. Mizigo inaelea juu