MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki
Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani.
Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga bansari na kusaini makubaliano, mwingine anakuja anasema mradi una mashariti ya ukichaaa na mwisho anakuja hangaya anasema hakukua na mkataba wala masharti ya ukichaa.
Hivi kweli katika hali hii kuna mtu anaweza kunishawishi kuwa huko jumba kuu kuna wenye kutumia akili? Kuna maarifa huko? Vijana wa siku hizi wanasema tutafika tukiwa tumechoka. Ila mimi naona hakuna dalili za kufika popote.