Miaka 60 ya Uhuru bado kuna Mgao wa Maji

Miaka 60 ya Uhuru bado kuna Mgao wa Maji

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,294
Reaction score
4,920
Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki

Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani.

Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga bansari na kusaini makubaliano, mwingine anakuja anasema mradi una mashariti ya ukichaaa na mwisho anakuja hangaya anasema hakukua na mkataba wala masharti ya ukichaa.

Hivi kweli katika hali hii kuna mtu anaweza kunishawishi kuwa huko jumba kuu kuna wenye kutumia akili? Kuna maarifa huko? Vijana wa siku hizi wanasema tutafika tukiwa tumechoka. Ila mimi naona hakuna dalili za kufika popote.
 
Hivyo ndivyo mnara wa babeli ulivyofika mwisho wake
 
Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki!!! Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani. Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga bansari na kusaini makubaliano, mwingine anakuja anasema mradi una mashariti ya ukichaaa na mwisho anakuja hangaya anasema hakukua na mkataba wala masharti ya ukichaa.

Hivi kweli katika hali hii kuna mtu anaweza kunishawishi kuwa huko jumba kuu kuna wenye kutumia akili? Kuna maarifa huko? Vijana wa siku hizi wanasema tutafika tukiwa tumechoka. Ila mimi naona hakuna dalili za kufika popote.
Alafu utawaona baadhi ya viongozi wanawahimiza wananchi eti tuliombee taifa ili mvua inyeshe
 
Na kipindi hiki ndio hali itakua mbaya zaidi kwani tumeweka incompetent pale juu, itakua shida.
 
Tusiwe watu wa kulaumu tu wewe umesha chimba hata kisima hapo kwako? Au una solar?
JFK alisemaje "dont ask what?..."
 
Inaumiza sana, mbaya zaidi kuna maeneo hapa Dar hayajawahi kupelekewa hata hizo bomba za maji na wananchi wake wote wanalipa Kodi Sawa yenye hadhi ya majiji maji hawana.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Na anutaka hapo 2025 ajabu!!
Basi waache kutufanya sisi wananchi kuwa kauzu maana kidemokrasia sisi ndiyo wapiga kura na wenye uwezo wa kuamua ni kiongozi yupi tunamhitaji kutuongoza kipindi hiki au kile.
 
Sisiyemu ni chanzo cha umasikini kwa taifa hili wanafuja pesa za umma kwa ajili yao binafsi na madaraka.

Miaka 60 ya uhuru watu wanaishi kilometer 10 toka vyanzo vya maji ila bado yanakatika.
 
Back
Top Bottom