Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

[emoji2]ndani ya masaa 6 tu atakuwa amewapata ndugu zake
 
Mkuu umeandika kwa experience kubwa sana.
Unaonekana ni mtu umetembea sana au umeishi na jamii za aina mbalimbali,wengine hawajui haya wanaongea kishabiki tu,hii dunia ina mambo mengi sana ya siri ambayo binadamu wengi hawayajui.
Kuna vitu vingine huwezi kuviona au kuvijua mpaka uwe na macho matatu.
Mimi ni kijana mdogo ila nimeshuhudia mambo mengi sana katika hii dunia na ndio maana nimekuelewa kwa haraka sana comment yako.
 
Zaidi ya nusu ya Tanzania nimeishi nayo, tena makabila yenye khusda sana nimeishi nayo pia. Nimeteswa na kupitia dharau za ndugu, na hadi sasa naishi nje ya kwetu na wala cjutii kutomuona ndugu yeyote yule, hawa watu ni hatari sana na tena nakuambia kuwa usipokuwa makini ndugu watakufanya ulaaniwe na wazazi kwani baadhi ya wazazi huwaamini ndugu kuliko watoto wao.
Cjafikia 40 years ila nipo Konki kiuelewa kuhusu binadamu..... Asante sana Mungu kwa kunionesha mapema wanadamu na sasa ndio naishi maana tayari nawafahamu kwa kina.
 
Kumbe maisha yako hayana tofauti na yangu.
Unajua watu wengi waliopitia manyanyaso akili zao huwa zinafunguka sana na kuweza kuona nje ya box.
Watoto waliolelewa kimayai mayai wanaiona dunia ipo tu kama ilivyo huwa hawavioni vitu vilivyo nyuma ya pazia.
 
Hii habari yako ni questionable! Mjombake mama aliondoka 1980's mama akiwa mdogo akaja kurudishwa 2000's wewe umshamaliza sekondari. Hebu eleza vizuri.
rudia kusoma posti yangu vizuri uone sikuandika nimemaliza nimeandika nikiwa niko sekondari,

aliondoka 1980s mwanzoni, akarudishwa mwaka 2008, nikiwa form one, nilizaliwa 93, mama yangu kazaliwa mwaka 68, miaka ya 1980s mwanzoni alikuwa ni binti mdogo wa miaka kumi na kitu, walakini unauokota wapi hapo, na hii ni istori ya kweli kabisa sijatunga
 
 
Asante sana bwana mkubwa,hakika nitafuata ushauri wako ,lakin me nadhan kipindi anaolewa aliolewa na pelekwa sehemu za mbali na kwao kwahiyo uwezekano Wa kurudi kwao haikuwezekana

Lakin asante sana
 
Nawatafuta ndugu zake, Hata hivyo mama ni mpweke sana Nami pia hiyo hali inanitesa sana Muda mwingine najisikia mpweke sana,Natamani sana niwaone ndugu zangu
Kwanini usimuulize kijjiji chao au kata alafu wewe mwenyewe unaenda kuulizia upate ndugu zake Mama?
 

Umeongea kweli mimi sio mtu wa huko ila kuna rafiki ni mama Dr. katoka usukumani alikuwa anadharaulika sana hata akiongea anaambiwa unaongea wewe kama nani sisi harusi likizo wanawake hata kama ume soma. Yule mama alinyamaza akaamua yeye amtunze mama ake maana baba alishakufa yule mama alimjengea mama ake nyumba nzuri sana akamnunulia gari na kumwekea driver. Ndugu kuona hivyo wakaanza kumfuata kumwomba pesa na yeye alikuwa anawajibu kwa nini mnataka kula pesa ya mwanamke nyie si wanaume? Huwa hamsikilizi wanawake sasa mbona mnanifuata
 


πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ! Nimewahi mfumania mama mkwe mmoja anamnyali mwanaye wa kiume...(anamwambia umemwacha mkeo ameshakuzidi kipato..usije nilalamikia Mimi kbs...akamuita yule mkamwana akamwambia mama mabiashara unayofanya mbona makubwa Sana kukuzidi ..hizo kazi ni ngumu...wewe kalime mchicha kile kiwanja kingine mtaji wa mbegu ntakupa..(kumbuka mtaji wa mchicha kilo moja ni 8000/-
Yaani Kuna ukiritimba Mungu hapendi!
 

Unaandika vitu havieleweki!
 
Mimi kaka Yangu wa pekee alitoweka miaka 7 sasahivi hatujui alipo. Mambo haya yanaumiza sana.
 

Basi wako nyuma sana na ndio maana wanasema ukiona jamii kina mama wajinga angalia hata vijana wao hawawezi kuwa na akili kama wanayo ya darasani basi ni ya kukariri tu lakiji sio ya kutumia common sense. Angalia jamii nyingi zinazonyanyasa wanawake huwa hazina maendeleo na hata wakiendelea unakuta hawana classy yapo yapo tu na kuvaa mi suti ya red au purple. Maendeleo sio ya maana
 
Nawatafuta ndugu zake, Hata hivyo mama ni mpweke sana Nami pia hiyo hali inanitesa sana Muda mwingine najisikia mpweke sana,Natamani sana niwaone ndugu zangu
Hujanielewa, muulize Mama kjiji chao au kata alafu nenda huko katafute wajomba na shangazi zako
 

Hahhaahahahhahaahhajajajajaahahhaa.natamani kubandika sehemu hiiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†! Mie nitasema ukwel siku zote..nyumba ambyo mwanamke ndo ana akili na smart ndo zinaongoza kwa discpln na maendeleo ya kijamii..haya mapanyabuku yanayoonea wake zao wanataka muda wote mke awe roughy ,awe na mamkaa Mara masizi Mara avae matenge Kama mama mchungaji always huwa shidaaaaπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ! Nimecheka na hizo red suits na puple uwiii Nakufa Mimi jaman🀣🀣🀣🀣🀣🀣!..Basi hiyo ndo jamii ya wasukumaπŸ˜„πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…